everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Huyu anasema hana interest na soka la bongo
Yuko Chelsea leo si wanacheza kumbe!!
Huyu anasema hana interest na soka la bongo
Matokea?
kina nani hao..We unatafuta murder case.....washazimiaa wenziooo...
Matokea?
Kitenge kishaanza kumlaumu mwamuzi.
Yanga kama kuzimia kungekuwa ni magoli basi hadi sasa wangekuwa wameshawazisha na wangekuwa wana magoli mawili!
Goooooooooooooo!!( teh teh teh unazingua!!)
yupo kule kwenye ambulence anaugulia...:msela:
simba 3-yanga 0
Messi out ndemla in
Mmmmh......
Goooooooooooooo!!( teh teh teh unazingua!!)
Serunkuma aingie jamani,tumuone maringo yake
Unawapa pole ya nini hao makande. Nasema waliwe tu!!!!Yanga poleni aisee