Naona giza nene limeifunika Tanzania katika uchaguzi Mkuu Wa 2015

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,788
2,000
Ndoto ya ccm ni kuitawala tanzania milele yote jambo ambalo wanaamini linawezekana,ccm ni watu wa ajabu sana hawasomi alama za nyakati kuwa kwa sasa hawatakiwi kabisa na wananchi kwa vitendo vyao viovu,ila kwa akili zao ndogo watataka kulazimisha ushindi hata kama wameshindwa na ndipo hapo sasa vijana waliochoka na maisha wataanzisha vurugu,wamekata tamaa ya maisha,hawana ajira,wanakamatwa bila makosa na kuwekwa ndani huku wakibambikiwa kesi,

CCM imejisahau sana ikidhani kuwa watanzania wa leo ni walewale wa miaka 1980,wakijaribu kufanya hila yoyote hakuna atakayeweza kuvumilia kila lenye mwanzo lina mwisho,hakuna mgombea urais wa ccm kwa sasa mwenye mvuto na political charisma wa kusimama 2015 ili ashinde,lazima watachapia tu ktk kusimamisha mgombea urais,wanaoutaka urais ndiyo hao wanaounga mkono ufisadi kwa nguvu zao zote,ccm haitashinda 2015 kwa mantiki hiyo naona giza nene limeifunika tanzania ni mungu ndiye anajua hatma ya hili taifa.
 
laiza

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,065
1,195
wiseboy inaelekea hujui siasa wewe..siasa ni kushindana kwa hoja na kuwashawishi wapiga kura ili wakipigie chama chao...CCM ina ndoto kama Chadema ilivyo na ndoto ya kutawala lakini mwamuzi wa ndoto hiyo ni wapiga kura kwenye sanduku la kura kesho na kisha oktoba 2015.. hilo giza unaloliona ni wewe pekee usiwasemee watu kwani binadamu wanaongozwa na maono yao na sio ya wiseboy...hakuna giza...uchaguzi utakuwa huru na haki na CCM itazoa viti vingi

Farudume

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
3,953

Tatizo la CCM ni kutangazwa washindi kupitia Ulaghai na hujuma kama wizi wa kura na kutumia vibaya vyombo vya Dola na Tume ya Uchaguzi.Tuombe Mungu wafadhili kutoka Nchi za Magharibi waunge mkono upinzani.
 
lipwid

Senior Member
Aug 7, 2014
108
0
Hatma ya maisha yetu yako mikononi mwetu..atakayeitupa silaha asilalamike ..ni vita ya ukombizi
 
afwe

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
4,085
2,000
Ndoto ya ccm ni kuitawala tanzania milele yote jambo ambalo wanaamini linawezekana,ccm ni watu wa ajabu sana hawasomi alama za nyakati kuwa kwa sasa hawatakiwi kabisa na wananchi kwa vitendo vyao viovu,ila kwa akili zao ndogo watataka kulazimisha ushindi hata kama wameshindwa na ndipo hapo sasa vijana waliochoka na maisha wataanzisha vurugu,wamekata tamaa ya maisha,hawana ajira,wanakamatwa bila makosa na kuwekwa ndani huku wakibambikiwa kesi,

CCM imejisahau sana ikidhani kuwa watanzania wa leo ni walewale wa miaka 1980,wakijaribu kufanya hila yoyote hakuna atakayeweza kuvumilia kila lenye mwanzo lina mwisho,hakuna mgombea urais wa ccm kwa sasa mwenye mvuto na political charisma wa kusimama 2015 ili ashinde,lazima watachapia tu ktk kusimamisha mgombea urais,wanaoutaka urais ndiyo hao wanaounga mkono ufisadi kwa nguvu zao zote,ccm haitashinda 2015 kwa mantiki hiyo naona giza nene limeifunika tanzania ni mungu ndiye anajua hatma ya hili taifa.
Tukapige kura kesho ku-mark ishara ya kifo cha CCM 2015.
 
laiza

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,065
1,195
farudume wafadhili wakiwaunga mkono mkashika dola sisi tutakuwa wapinzani na tutawaita hivihivi wezi wa kura na walaghai na wahujumu na mtatumia vibaya vyombo vya dola na tume ya uchaguzi..lakini yote haya ni kwa sababu mmeona na ninyi mshike dola kwa hali au kwa mali liwalo na liwe...na sisi tunapenda amani na maendeleo kwa hali au kwa mali liwalo na liwe
Tatizo la CCM ni kutangazwa washindi kupitia Ulaghai na hujuma kama wizi wa kura na kutumia vibaya vyombo vya Dola na Tume ya Uchaguzi.Tuombe Mungu wafadhili kutoka Nchi za Magharibi waunge mkono upinzani.
 
mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
3,955
2,000
Mtu mmoja mwenye hekima alisema, "Haki huinua Taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wote!"
 
gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,674
2,000
Ndoto ya ccm ni kuitawala tanzania milele yote jambo ambalo wanaamini linawezekana,ccm ni watu wa ajabu sana hawasomi alama za nyakati kuwa kwa sasa hawatakiwi kabisa na wananchi kwa vitendo vyao viovu,ila kwa akili zao ndogo watataka kulazimisha ushindi hata kama wameshindwa na ndipo hapo sasa vijana waliochoka na maisha wataanzisha vurugu,wamekata tamaa ya maisha,hawana ajira,wanakamatwa bila makosa na kuwekwa ndani huku wakibambikiwa kesi,

CCM imejisahau sana ikidhani kuwa watanzania wa leo ni walewale wa miaka 1980,wakijaribu kufanya hila yoyote hakuna atakayeweza kuvumilia kila lenye mwanzo lina mwisho,hakuna mgombea urais wa ccm kwa sasa mwenye mvuto na political charisma wa kusimama 2015 ili ashinde,lazima watachapia tu ktk kusimamisha mgombea urais,wanaoutaka urais ndiyo hao wanaounga mkono ufisadi kwa nguvu zao zote,ccm haitashinda 2015 kwa mantiki hiyo naona giza nene limeifunika tanzania ni mungu ndiye anajua hatma ya hili taifa.
kwa kuwa ni dalili ya ccm kuondoka madarakani, sisi kina gogo la shamba ni tofauti na wewe, wewe unaona giza sisi kina gogo la shamba tunaona mwanga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom