Kikwete na Lowassa kunani tena?

Kikwete na Lowassa kunani tena?

Mnatengeneza picha ili kutuhamasisha siyo! Lindeni heshima zenu hii nchi siyo ya kihunihuni pelekeni huyo Fisadi wenu hukohuko acheni Tanzania apate kiongozi safi na muadilifu. Lowasa hasafoshiki pesa kitu gani bana mxx!
 
Lowassa,Lowassa,Lowassa!Lowassa,Lowassa,Lowassa.Lowassa,Lowassa,Lowassa.Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,
Mi nafikir sasa muda ufike tumpe kura zetu,mara mseme anaumwa,leo tena mnajadili alivyokaa na Jk,doh
 
kazi kweli kweli WATANZANIA bado mnatembelea gongo wakati wa mchana wakati mnaona ,ni laana hii, yaani unawaza raisi mpaka atoke ZANZIBAR wakati sote ni wamoja..ni laana za MAGAMBA.
 
Hiyo picha ni ya jana kwenye sherehe za Uhuru wa Tanganyika. Kilichopo hapo Lowassa kasimama mstari wa pili yaani nyuma; dili lililofanyika hapo ni kuhakikisha kikwete anaacha mwanya wa kutosha ubavuni mwake na Mwamnyange ili mkakati wao ukamilike. Ndipo mpiga picha akaichukua usawa wa nyuzi 45 ili aonekane wako pamoja kama mtaji wa kuwachanganya wananchi kisiasa kwamba ndiye aliyeandaliwa 2015. Huu upuuzi hauvumiliki na ukomeshwe mara moja.

Wanasema NDUGU wakigombana chukua jembe ukalime na wakipatana chukua kapu ukavune..................
 
Mkuu hii picha imepigwa lini?Kama ni ya leo Basi Rais wetu amesoma alama za Nyakati.

Hakuna cha alama za nyakati wala nini. Huyo jamaaa amekuwa akiwahonga watu wa protocol ili apangwe sehemu itakayomfanya aonekane kwenye picha akiwa karibu na raisi.
 
Mbona inaonekana mstari wa Mbele mkuu wa majeshi kufuatiwa na Raisi, halafu Raisi wa Znz , Halafu Mke wa Raisi , nyuma Yao Ndio anaonekana Lowassa na wengineo

Ndivyo ilivyo lakini hawa wapenzi wa lowasa ushabiki wao haunatofauti na wale wa chadema hawapendi kutambua ukweli
 
EL yupo safu ya nyuma na sio mbele alipo Rais.
Alikuwa safu ya nyuma ya JK,tena usawa wa mtu wa tatu toka kwa JK kwa maana nyingine wala hakuwa nyuma hata ya Mkuu wa majeshi.....hapo kati palikuwa na nafasi ilimfanya EL aonekane kama yupo karibusana.
 
Kwa comments hizi nimegundua watanzania wengi wana matatizo ya macho.
 
Protokali imezingatiw hapo jamani. EL ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na hapo ndio mahala pake. Na hata hivyo huyo ndiye rais wa 2015 iwe isiwe. Hapo hakuna kampeni huyo tayari anasubiriwa kuapishwa tu
 
Mnatengeneza picha ili kutuhamasisha siyo! Lindeni heshima zenu hii nchi siyo ya kihunihuni pelekeni huyo Fisadi wenu hukohuko acheni Tanzania apate kiongozi safi na muadilifu. Lowasa hasafoshiki pesa kitu gani bana mxx!
Kuna siku kila mbuzi atakula usawa wa kamba yake na kila mtu atakula alicho panda ccm wote ni wezi na mafisadi waliyo pindukia amna aliye msafi ndani ya ccm wote wezi
 
Tushije kushangaa pia JK akatufanyia surprise ya mwaka, pale atakapomteua mzee wa mamvi kuwa PM mpya, akimreplace mzee wa kutoa machozi!

Ukifuatilia kauli ya Sefue kuwa ripoti ya maazimio ya bunge wameipokea Ikulu, hata hivyo vyombo vya uchunguzi vinaendelea kuchunguza 'deeper'9ili ikibidi kuwaclear baadhi ya watuhumiwa na kuwatumbukiza ndani ya hiyo skandali, wengineo ambao hawakuguswa na maazimio yale manane ya bunge!

Siku 7 zijazo zinaweza kuleta kishindo kikubwa sana cha kisiasa hapa nchini!
Akina Mnyika mbowe na Zito walivuta kote kote pande zote yaani walivuta za Mhongo na za Mengi kisha wakazuga kukomaa, vipi hapo kwenye Uchunguzi watafika kwao?
 
Picha halisi hii hapa acheni kuchakachua
 

Attachments

  • 1418190460353.jpg
    1418190460353.jpg
    53.9 KB · Views: 244
nyie mnajidanganya ja kabisa EL yupo nyuma sio mbele pili mnashindwa kupima mambo kwani mtu kukaa na rais ndio kuwa rais wa mwakani?? je mnajua vizuri kikwete?? kikwete hatabiriki hata kidogo na pia mwelekeo wa taifa hili unahitaji mtu clean na muadilifu sio lowasa mwenye makandokando ... Rais kwa jins anavyomuamin na kumtegemea wasira hope ndie atakaechiwa kijiti kwa jins lowasa alivyomnafiki anaweza kuwaachia ndugu zangu ukawa nafas ya kuongoza kwa kutengeneza mazingira tunahitaji rais hatuhitaji Rahis
 
Back
Top Bottom