Recent content by Lipu

  1. Lipu

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Uturuki iwe funzo kwa Tanzania

    Punguza ukali wa maneno mkuu hii ndio jf uwe mvumilivu
  2. Lipu

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Uturuki iwe funzo kwa Tanzania

    Kweli hizi sheria ni shida sana
  3. Lipu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kujiunga Jeshi la Polisi 2016

    Polisi walikua 3000 hao wengine ni uhamiaji na bajeti ya mwaka huu inahitaji askari polisi 3700
  4. Lipu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kujiunga Jeshi la Polisi 2016

    Hao vijana wa jkt wapo tayari kutemwa kuliko kwenda polisi na ukisema professional zote huko zipo sio kweli kwa hao OPP KIKWETE labda OPP zijazo
  5. Lipu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kujiunga Jeshi la Polisi 2016

    Acha habari zako hizo wee zungumzia habari za jkt
  6. Lipu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kujiunga Jeshi la Polisi 2016

    Vuta subira kijana nafasi zipo na zitatoka ila kwa sasa kuna mambo yanawekwa sawa wazi
  7. Lipu

    JamiiForums Tanzania Lissu anyimwa Dhamana, kupelekwa mahakamani kesho

    Huyo polisi kawazoea sio mara yake ya kwanza kukaa mahabusu wangempeleka na segerea ili akajifunze watu wanavyoishi kule ndani
  8. Lipu

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani aliyekwaruzana na mke wa waziri apandishwa cheo

    Cheo alichovaa,ni coplo
  9. Lipu

    JamiiForums Tanzania Hivi maisha yanawafanyaga nini wadada mpaka mvuto unapotea?

    Maisha yanawapiga mara nyingi ukiwa shule unahudumiwa kila kitu ila ukiwa nyumbani huduma zinapungua au kunakuwa hakuna huduma kabisa na kuanza kujitegemea
  10. Lipu

    JamiiForums Tanzania Ushauri between HGL ama C.O

    Nenda CO kijana usiende advance
  11. Lipu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laongezewa nguvu! UKAWA tutapona kweli!

    Ndio
  12. Lipu

    JamiiForums Tanzania Nimetishwa na Kauli ya Magufuli, Kauli Iliyotanguliwa na Udictator wa Ajabu wa Kutumia Polisi.

    POLE sana jitahidi uwe msomaji bila kukomenti
  13. Lipu

    JamiiForums Tanzania Nimetishwa na Kauli ya Magufuli, Kauli Iliyotanguliwa na Udictator wa Ajabu wa Kutumia Polisi.

    Mkuu ukute yeye anachochea watu ili waropoke then washikwe hapa wanatafutwa wachangiaji
  14. Lipu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida na hasara za kuajiriwa na jeshi kwa wahitimu wa vyuo

    Kazi za jeshi ni za kujitolea sio masilahi mkuu kule ni uzalendo zaidi and nothing else
  15. Lipu

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    Daaa hiyo shida sana hii elimu
Back
Top Bottom