Naomba kujua faida na hasara za kuajiriwa na jeshi kwa wahitimu wa vyuo

Chillo97

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
630
933
Wana jukwaa
Naomba mnisaidie faida na hasara za kuajiliwa na jeshi kwa wahitimu wa vyuo.
Me nimemaliza diploma ya engineering mwaka jana na siku chache zimetoka nafasi za kujiunga na jeshi nafasi hizi zimetangazwa chuoni.
Kwa ambao mliwahi kupitia huku naomba mrejesho wenu.
 
Jeshini yakupasa uwe na nidhamu ya hali ya juu, uwe mtii wa sheria zote na taratibu zake. Sio mbaya ata kama wewe sio mtiifu jeshini utafundwa na kuwa mzalendo wa kweli.

Hakuna hasara ya kujiunga na jeshi pia faida zake ni nyingi mno.
Ikiwemo ukakamavu na uzalendo. Jeshini hatufanyi biashara kwa hiyo usitegemee kupata utajiri ndani ya jeshi. Pia tambua jeshini hatutengenezi mafukara kwa hiyo mwanajeshi hapaswi kuwa maskini.
 
Wana jukwaa
Naomba mnisaidie faida na hasara za kuajiliwa na jeshi kwa wahitimu wa vyuo.
Me nimemaliza diploma ya engineering mwaka jana na siku chache zimetoka nafasi za kujiunga na jeshi nafasi hizi zimetangazwa chuoni.
Kwa ambao mliwahi kupitia huku naomba mrejesho wenu.
hakuna hasara ni mwendo wa kupga pesa tu maana c unasoma mwishow upate kazi then upate mkwanja au thyo mkuu
 
Back
Top Bottom