mengi ushaambiwa huko juu sina haja ya kurudia tena achana kabisa ha hgl haitakupeleka mahali siku hislzi sayansi ndo kila kitu hata mkopo watu wa art haqapewi sayansi wanapewa na ajira za art ni ishu jiulize zaidi ya maelf ya wahitimu wA ualimu hawajaajiriwa wameambiwa wasubirie mwakani na serikali kipindi cha pinda ishawahi kutangaza haihitaji walimu wa arts imejitosheleza sheria nako majanga sijui utaendna wapi ndugu.
kwanza una akili hongera matokeo yako vizuri umefanya chaguo safi sana nenda clinical officer usipoteze mda. ukienda advance kama unataka kusomea kozibya afya piga pcb na upate division one ya maana hapo utaweza kwensa udaktari muhimbilo, udsm n.k vyuo vya serikali pprivate dvsion 2 utapata ila ada huiwez hata ukipewa mkopp hawakupi wote million 5 kama ada huweI ndugu yan advance ni kupoteza mda. nilikua na mchi wangi advance alpga two pcb saiv yupo clinical officer chuo hakuongia yan hakupata nafasi kabisa sababu ya ushindani. nipe no yako pm tupige story ntaku Jiu A mengi me now npo chuo na coz yenye kuhitaji pumzi upate ajira.