Recent content by lipoprotein

  1. L

    JamiiForums Tanzania Star times solar 5 ukiwasha inaonyesha logo tu

    Wadau msaada wenu please
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Printer yangu ya HP haisomi kwenye computer yangu inayotumia window xp Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mduka ya PC bei nafuu Mwanza!!!

    Jaman wanajanvi kwa anaye fahamu Maduka ya PC mpya kwa bei nafuu jijini mwanza msaada tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais wa wanafunzi chuo cha St Joseph kufukuzwa chuo kwa kusema ukweli wizarani

    Mbona hao wahindi waliwezwa na midume huko st Joseph arusha
  5. L

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man utd wanaviungo mafundi hatarii lakin cha kushungaza timu inapambana kuingia top 4 badala ya ubingwa, wachambuzi Wa soka tuisaidie utd tafadhari
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili tatizo la WhatsApp

    Bado aise
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Halima Mdee kumtusi Spika, tunakoelekea ni kubaya zaidi

    Pamoja na mapungufu yote ya mwanadada huyu nguli Wa sheria bado hajawahi kutukanwa ndani ya bunge , mwanadada huyu aliandamwa sana na baadhi ya wabunge kuwa alikuwa anabinya kanuni, ilifikia kipindi hadi baadhi ya wabunge wakammiss spika wa bunge mhe ndugai lakin kilichotokea Jana nashindwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa ujinga huu ni ndoto Tanzania kuwa 'Super Power' kwenye ukanda wa EAC

    Watamipigia huyo mmoja, anayebaki ambaye hawamtak wanapiga hapana
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili tatizo la WhatsApp

    APN mpya? Nibun au
  10. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili tatizo la WhatsApp

    Halotel
  11. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili tatizo la WhatsApp

    Ni change nn maana Nimejaribu Ku reinstallation bado inazingua
  12. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili tatizo la WhatsApp

    Jaman kuna simu yangu inaonyesha hayo maneno nikitaka kuinstall WhatsApp apps, so hata ukibahatika kuinstall bado kupitia WiFi bado kusend text inasumbua. Msaaada tafadhari
  13. L

    JamiiForums Tanzania Bunge la mwezi April

    Great thinkers tutegemee nn kwenye bunge litakaloanza hiv karibuni? Je hoja za msingi zitawekwa mezani tayari kwa kujadiliwa au Dada yule atachukua mbeleko yake tena? Je ikitokea Dada yule akachukua mbeleko tena kwa haya yanayotokea nini kifanyike sisi kama wanainchi?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nani atakaeiongoza kuinadi CCM kwa Wananchi 2020 na Itawaambia kitu gani hadi ipigiwe Kura?

    Yaaan nyie wenye hizo ndoto hamtakuja kuamin!!!
  15. L

    JamiiForums Tanzania Joseph Kasheku (Musukuma): Kitambulisho cha askari yeyote ni bastola

    Akihojiwa na Ayo tv Jana, Msukuma alidai kwa walichokifanya watu wanaodaiwa ni askari kumuonyesha bastola mhe Nape ni sahihi kwani kitambulisho cha askari yeyote ni bastola au bunduki hivyo Nape hakupaswa kuwa na shaka maana walikuwa wanamlinda. Msukuma alienda mbali zaidi na kusema hata yeye...
Back
Top Bottom