Tatizo lolote la PC/device

Charger ya laptop ilipiga shot ikaungua,hvyo nikawa naazma charger ya mtu mwingine natumia kwenye laptop yangu,,sasa imepita kama mwezi na nusu sijaitumia laptop,juzi nimenunua charger yake ila laptop haiwaki

nikasema labda charger mbovu,nikajaribu had nlokua naazima ila bado haiwaki na mara ya mwisho ilikua vizuri tu,tatizo laweza kuwa nn?....NI WINA YA HP
 
Au pia hapo kwenye desktop ( mwanzon kabisa baada ya kuwasha pc yako kabla ujaingia kwenye application au folder lolote) upande wa chini kulia Kuna icon ya bettery kama inavyoonekana kwenye picha hapo bonyeza Kisha chagua adjust screen brightness then ongeza hapo

Pirate
sinaga waswas na wew.
huwa nakuelewa snaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sina Malware remover bali naona ni Microsoft essential pekee, na swali lingine ni kweli Window XP imefika mwisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
Windows xp kwa sasa haina support tangu April 2014, unaweza ukaitumia lakni inakubidi uwe mwangalifu na virus.

Baada ya microsoft kuachana nayo software nyingi hizi mpya hazikubali uinstall kwenye windows xp hasa hizi anti-virus labda utumie za zamani.
 
labda mkuu sijakuelewa vizur, yan inagoma kufanya update ya windows kabisa au ku-install new program inagoma??
Haifanyi both. Nikiwa online ile autoupdate inarun vzr, ila kwa important updates inagoma mf, update for windows 7, Window 7 Service Pack 1, Advanced Micro Devices, Inc driver for ADM SMBus.

Vilevile nikiwa na new programme nikitaka kuinstall mf Adobe reader zinagoma.

Nikiright click kwenye icon ya my computer then nikaclick Manage inaniandikia Application not found.

Please, msaada wako....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Windows xp kwa sasa haina support tangu April 2014, unaweza ukaitumia lakni inakubidi uwe mwangalifu na virus.

Baada ya microsoft kuachana nayo software nyingi hizi mpya hazikubali uinstall kwenye windows xp hasa hizi anti-virus labda utumie za zamani.
asante Mkuu Pirate huku mm natumia Microsoft Security na inagoma ku-update, ili niingia angalau Window 7 nifanyeje? nikiingeza Ram? maana ipo 750Mb je ikifika 1Gb inaweza ikaRun?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba msaada. Nilimpelekea fundi pc yngu. Akaniambia tatzo ni motherboard imekufa. Sasa akaniwekea nyngne. Sas tokea aniwekee hiyo nyngne, nikiwasha pc inawaka. Lakn tatizo jengne limetokea kwmba inazimika kila baada ya dakika 30 bila ya hata warning yeyote ile. Na nimiiwasha inawaka naturally kama amabe nimeizima normally. I have tried all my best, lakn nimeshindwa.
Karibun kwa msaada

OK simply solution inawzekana ikawa ni CPU Inafanya over-heat (inapata joto) kupitiliza, so cha kufanya mpelekee huyo fundi labda aweke CPU cooler paste inaweza ikasaidia,

Or

Inawzekana pia motherboard sio compatible ni CPU aloiweka

Pirate
 
Inakuja rangi nyeusi tu.
OK kama ujapata solution jarbu hiv

Sometimes inawzekana ikawa windows yako aijakuwa activated, kama ni hivyo activate kwanza

Or

Wakat unaweka BP angalia kama umeset time ya hiyo picture kukaa labda then weka ikae for long

# # #
Jarbu sana na activation ya windows kwanza

Pirate
 
Back
Top Bottom