lipoprotein
Member
- Oct 4, 2016
- 51
- 58
Great thinkers tutegemee nn kwenye bunge litakaloanza hiv karibuni? Je hoja za msingi zitawekwa mezani tayari kwa kujadiliwa au Dada yule atachukua mbeleko yake tena? Je ikitokea Dada yule akachukua mbeleko tena kwa haya yanayotokea nini kifanyike sisi kama wanainchi?