Recent content by lipingangogolo

  1. lipingangogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

    Nyie subirini comon 100
  2. lipingangogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ukweli usemwe kama umeweka mashindano na ukaona umezidiwa kubari umezidiwa tu
  3. lipingangogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa island ungelinganisha na mombasa sio Nairobi hapo ungekuwa sawa
  4. lipingangogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kabisa yaani sema wabongo tunamisifa tu lakini huwezi linganisha flyover na madaraja ni vitu viwili tofauti sana
  5. lipingangogolo

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Njombe/Mafinga

    Ukiona punda basi ujue hao ni wamasai wewe wa wapi?
  6. lipingangogolo

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Njombe/Mafinga

    Sasa unadhani watajuaje na hawatembei?
  7. lipingangogolo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hamna weledi Mdee na Bulaya hata wakianzisha chama chao wanapita ubunge

    Kwa akili zako finyu
  8. lipingangogolo

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Njombe/Mafinga

    Muwe mnatembea na maeneo mengine ya nchi sio kukaa ndani tu kama utumbo mala kashai kibeta kitendaguro kahororo.ihungo nyakanyasi ghana sasa miji mingine mtaijuaje?
  9. lipingangogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Watanzania kazi kubwa tulio nayo ni kujitukuza tu na sio uharisia kwa Nairobi na dar ni mbingu na Ardhi
  10. lipingangogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huo ndiyo ukweli ila tu watanzania tunapenda kujisifia ujinga
  11. lipingangogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tofautisha kati ya uchaguzi na uchafuzi tume inateuliwa na Mwenyekiti wa chama halafu unategemea nini hapo? Ndiyo maana watu wanataka katiba mpya
  12. lipingangogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga inakwenda kutufufundisha jinsi ya kushangilia, basi kama la Liverpool lakodishwa afrika kusini, burudani ni next level, haijawahi kutokea

    Yaani yanga ina watu wajinga aisee!!! Kha!! Kwanza mngejifunza jinsi simba ilivyo waaga wachezeji wao bwalya na wawa hilo tu tosha kuwaonesha kuwa simba ni timu ya aina gani kule kwenye nani zaidi mmepigwa vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. lipingangogolo

    JamiiForums Tanzania For Political Survival, Halima Mdee na wenzake wahamie ACT Wazalendo

    Kwa uelewa wako ulivyo mdogo kama punje ya njegere
  14. lipingangogolo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hamna weledi Mdee na Bulaya hata wakianzisha chama chao wanapita ubunge

    Hapo ndipo akili zako zilipo ishia
Back
Top Bottom