Hatukudanganywa ila neno lililotumika kutafsiri BRT lilikosewa na wanaojiita wasomi huko ofisini! Rapid Bus Transport ni usafiri wa basi ziendazo haraka na si ziendazo kasi!
Haya ni matokeo ya kuajiri vihiyo hadi upotoshaji unajitokeza na ofisa mwenye dhamana yupo tu. JPM hebu fanya suprise...
Wanjamii, salaam.
Nashuhudia minenguo ya matangazo mengi ya biashara hasa kwenye haya magari matangazo hapa mkabala na barabara ya Moro hapa magomeni.
Kinachoniacha sinto ni minenguo kutohusika na hisia ya mlengwa wa bidhaa tajwa! Gesi yauzwa, lakini fulani akata mauno ili ununue!? Tuwe...
Mleta uzi upo sahihi. Hawa vijana ni matokeo ya elimu ya shule na malezi ya wazazi. Mtu utamjua tu pale anapoongea. Kama shule na nyumbani hakupata mafunzo stahiki, usitegemee content kwenye mazungumzo yake. Wazazi hawana muda kuketi na watoto hata dining table; hawaoni constructive dialogue...
Mkuu upo sawa. Hii kesho inafanya watu waishi kwa hofu tu. Tajiri na masikini huwa na hofu ya kesho. Lkn dini zote zinakataza kuchungulia kesho kwa ramli nk. Tuna hofu ya kesho lkn ramli twakatazwa. Basi tule/tufanye leo kile roho inapenda, kwani kesho hatujui itakuwaje. Akiba ni ajili ya watoto...
Waruhusiwe Auditors na Inspectors kutoka Hq. Haileti mantiki mtumishi wa halmashauri kwenda mkoa mwingine, anafuata nini? TEHAMA na courier servive vitumike unless ni suala nyeti.
Uzinzi ni warrant tosha ya talaka kwa dini zote. Iwapo utatubu kwa mumeo na akakubali muendelee, ujue heshima na upendo hautarudi kama mwanzo. Ukae ukijua ni lazima ata revenge hata kwa hg mpya. Utapata blackmailer mpya ambae ni hubby wako. Kwani hutoweza fanya lolote ukumkuta red handed...
WanaJF,
Wakati sasa umefika tuweke hadharani mali za haya majipu ambazo UNA HAKIKA ndimo kodi zetu zilimofukiwa.
Wewe unawajua kwani unayaona makeke na majigambo yao mtaani hata bar.
Wamjua elimu yake na muda wake kazini ambao hauendani na mali alonazo.
Kwa kufanya hivyo tutakuwa...
Hizo fedha zilikuwa zinachangia tzs kuporomoka kwani hizo benki zilinunua forex na kuziuza baada ya supply kuwa ndogo. Ni mchezo wa speculators ambao wanatajirikia forex fluctuations. Faida ya mchezo huu ni kubwa kuliko riba wanatozazo. Serikali ilikuwa haipati impact kwani exchange rate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.