LimaAlfa
Member
- Dec 22, 2015
- 37
- 19
Wanjamii, salaam.
Nashuhudia minenguo ya matangazo mengi ya biashara hasa kwenye haya magari matangazo hapa mkabala na barabara ya Moro hapa magomeni.
Kinachoniacha sinto ni minenguo kutohusika na hisia ya mlengwa wa bidhaa tajwa! Gesi yauzwa, lakini fulani akata mauno ili ununue!? Tuwe wa-halisia, tuache ku corrupt nafsi.
Ukinunue gesi kwa hilo uno, basi sijui we nawe vipi? Tuache kuwa superficial!