LimaAlfa
Member
- Dec 22, 2015
- 37
- 19
WanaJF,
Wakati sasa umefika tuweke hadharani mali za haya majipu ambazo UNA HAKIKA ndimo kodi zetu zilimofukiwa.
Wewe unawajua kwani unayaona makeke na majigambo yao mtaani hata bar.
Wamjua elimu yake na muda wake kazini ambao hauendani na mali alonazo.
Kwa kufanya hivyo tutakuwa tunarahisisha kazi ya kuzisaka kabla hawajazitawanya.
Kuna mijengo ikitajwa na kufuatiliwa ita -reveal jipu lililojificha. Kuwa mzalendo ili heshima iende kwa anayestahili.