Maisha ni safari ndefu wanajf jaribuni kutoa ushauri mzuri, wengine mnakatisha tamaa wenzenu kabisa, ukipata D sio kwamba umefeli hyo ni pass ndio maana hata necta wanaandika ''pass" labda f ndio fail, coz f haiwezi kukupeleka popote but D ukiwa nazo nyingi unaweza kusomea course yoyote cha...