Jipu la madaktari wa kigeni Aghakan

Kalimati

Senior Member
Feb 21, 2013
149
46
14 doctors fron Aga Khan hospital have been deported back to Pakistan today on Presidents instructions...Nani mwenye taarifa hii kamili? tunaomba muongozo nimekutana nayo sehemu
 
Duh! Ila kama ni kweli nashauri wangebakishwa kama cio majipu
 
hawa wabongo wanatuacha tunajifungulia kwenye mabeseni hebu waacheni wenye moyo na kazi zao waendelee.
 
Hivi wewe eddy ni ME au KE maana naona umewakomalia sana watumishi wa afya.kwa mawazo yako unafikiri hiyo aga khan ni bure?hata huko unakosema wanajifungulia kwenye mabeseni unajua chanzo au unaongea.Aga khan unalipa pesa na huduma nzuri unapata.huku serikalini wanalipa watumishi wa afya mshahara lkn mazingira ya kazi ni mabovu watumishi wachache dawa na vifaa tiba vichache.nimeandika kwa sababu nilishajifungulia aga khan hosp dar na hosp ya Gov kuna tofauti kubwa tena manesi wa wanafanya kazi shida sana na hasa labour.
 
MADAKTARI WA KIBONGO MIYEYUSHO KAZI KUTEMBEA NA ILE CHENI TA UDAKTARI SHINGONI TU KWENYE MAKORIDO
 
Yani madactari na manesi wa cku hizi ni shedaa tupu! tena wanajisifia hadharani kabisaa utackia wanasema aje Magufuli awasaidie, ni majipu yaloiva!
 
hizi habari sizana kama ni za kweli, tunaendelea kufanya mawasiliano aga khan hosp tutawajulisha, ila issue ya madaktari kutoka paskstani kweli wapo, na anayewapigia debe kuja ni CEO ambaye naye ni mpakistan, pia kuna wafanyakazi wa kawaida kutoka huko huko pakstani lakini qualification zao zinatia mashaka kama kweli ndiyo hizo
 
Back
Top Bottom