Recent content by lilla_gumman

  1. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli amwapisha Dr. Wilbrod Slaa kuwa Balozi Sweden na Muhidin Mboweto kwenda Nigeria

    Balozi wetu mama Dora alikuwa mama mwenye hekima sana
  2. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    Ndo maana mie nikionaga police ameuliwa wala sishtuki [emoji19][emoji19]
  3. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampigia simu MwanaFA na kumwambia anapenda kazi zake hasa Wimbo wa Dume Suruali

    Achelewi kuja kutuchamba kwamba watanzania tunapenda miziki ya kijinga kama alivyotuambia tunapenda udaku wakati yeye ndo mpiga simu maarufu na kusifia[emoji849][emoji849][emoji849]
  4. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Maadui wa Paul Makonda watofautiana

    Na mtetezi wake namba moja ni Rais Magufuli ambae anampa kiburi cha kufanya ujinga anaoufanya
  5. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kwenda Sweden

    Tengeneza passport, tafuta watu wanaotengeneza visa.....na kumbuka hadi upate visa na kusafiri gharama yake sio chini ya million sita tzsh. Na viza ya kuja Sweden moja moja ni ngumu kupata. Inabidi upitie nchi nyingine kama France, Spain nk, ukifika kwenye hizo nchi ni rahisi kuingia Sweden[emoji4]
  6. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Waziri wa utamaduni sanaa na mchezo, Dr Harrison mwakyembe kuwakutanisha Diamond na Alikiba

    Ana ushahidi gan kama Ali Kiba na Diamond wana ugomvi??? kesi ya clouds na Makonda yenye ushahidi kaipotezea anakazana na yasiyomuhusu[emoji849]
  7. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amualika Ney wa Mitego Ikulu, kufanya Mazungumzo

    Naona anaenda kupewa somo kama nimekupa uhuru wa kuimba unavyotaka but not to that extent[emoji3]
  8. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Polisi wamemuacha RC Makonda lakini Nay wa Mitego wamemchukulia hatua

    Wanasemaga eti hawafatilii udaku ndo maana hawajachukua hatua
  9. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Nimegundua boss wangu ana vyeti feki

    Hapo inabidi umtafute Gwajima ili akupe maujuzi anayoyatumia kumtumbua Bashite[emoji41]
  10. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Magufuli, kweli Watanzania wengi wanapenda sana udaku udaku.

    Tunafanya kile rais wetu anapenda.... alisema anapenda shilawadu na sie wananchi tumeamua kuungana nae
  11. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    Usiwapangie basata kazi ya kufanya au umesahau mkulu majuzi alisema tusipangiane kazi [emoji41]
  12. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Vijana mnajifunza nini kutoka kwa Nape?

    Ametufunza tusipangiane vitu vya kufanya, kila mtu afanye yake[emoji5]
  13. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusambaratishwa Nape, Bashite hana mpinzani ndani ya CCM kuurithi Urais 2025

    Labda kama atachukua fomu mwenyewe na kujipigia kura mwenyewe
  14. lilla_gumman

    JamiiForums Tanzania Makonda Alienda Clouds Kufuatilia Documentary Yake ya Mwaka Mmoja Madarakani

    Kwaiyo mnatuona vilaza kama huyo Bashite aliyejaza Fa Fa Fa Fa Fa kila somo
Back
Top Bottom