Maadui wa Paul Makonda watofautiana

byembalilwa

JF-Expert Member
Aug 7, 2012
2,046
928
Suala LA mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda limezua sura Mpya baada ya maadui zake wakubwa kutofautiana has a kuhusu uhalali Wa vyeti vyake vya kidato cha NNE. Wiki chache zilizopita adui yke namba moja Mange kimambi aliibuka na kusema Mkuu wa mkoa wa Dar anatmia jina na cheti cha mtu anayejulikana kwa jina la Paul Christian Kagenzi na kuwa alinunua jina hilo baada ya kufeli mtihan Wa kidato cha nne..adui huyo alizidi kusisitiza na kuuaminisha umma kuwa jina halali LA mkuu huyo wa mkoa ni Daud Albert Bashite na ndo jina lake halali alilopewa na wazaz wake ikiwa ni pamoja na kulitumia katika kuitafta elim kabla ya kufel kidato cha NNE. Kutaka kuuaminisha umma Mange alieleza kuwa hilo jina linatumiwa na mtangazaji wa kituo kimojawapo cha redio mjini mkoan Tabora.

Adui mamba mbili Mchungaji Gwajima ,huyu namuita adui namba mbili ,huyu adui Juma takriban nne zilipita alitumia mathabahu take vibaya kwa kueneza chuki na uongo Wa waumin wake ..adui huyu amekaririwa Mara kadhaa akisema mkuu wa mkoa wa Dsm amefoji vyeti na vyeti anavyotumia pamoja na jina ni la mtu aitwaye Paul kagezi Muyenje na kuzidi kukusitiza kuwa yeye anaitwa Daudi Albert Bashite. Bila kujali kuwa alikuwa anatenda dhambi akaendelea kusema kuwa hata namba ya Dada yake na hyo Paul anayo ikiwa ni pamoja na vyeti vya Bashite..

Adui namba tatu Balile (jamhuhuri) huyu nampa hiyo namba kwa kuwa katika gazeti lake la tarehe 21/22 march alieleza zaid ya kurasa Nana kuhusu habari ya Bashite lakin cha kushangaza alitofautiana na maadui wengine kwa kufika Pamba Sekondari na kutokuta jina la Daud Albert Bashite tofuti na adui wa Pili alivyokuwa ametuaminisha kwa kuja na matokeo feki kutoka Pamba.
Lakini pia adui huyu alipomhoji Paul christian alikiri kuwa hana dada na yey alipata division three ya point 25 kama tulivyokuwa tumeaminishwa na mchingaji Gwajima.

Adui wa NNE Mh. Nyepesi huyu namuita adui maana naye amelivalia njuga suala la bashite ikiwa ni pamoja na kutumia mda mwingi kufuatilia suala hilo kuliko suala la wapiga kura wake walikatiwa maji toka juzi. Huyu naye kaenda Nectar hakukuta jina la Bashite wa Paul Makonda.
Tumuamin nan??nawasilisha
 
Gwajima keshaachia matokeo ya Daudi Albert Bashite mubashara.

Jana ile Post iliyodaiwa ni ya Necta kuwa hawana Matokeo ya Albert Bashite , Zitto alikuja akasema kauli yake ni utani tu!
Kiufupi NECTA hawajatoa tamko lolote lile kuhusu elimu ya Daudi!!

Hata isingekuwa Utani, Mwenye tuhuma siyo ALBERT BASHITE, mwenye tuhuma ni DAUDI ALBERT BASHITE

Ni jukumu la Makonda kuleta vyeti ili aweke rekodi Straight
 
Hii sakata kuna mmoja lazima abaki uchi kwa aibu Gwajima ni sawa na mwanamke anaetaka kuona uchi wa mwanaume ili hali yeye kavaa cha msingi vua na wewe wote tuwe uchi watu wanataka vyeti vya Makonda wakati vyao wamefungia kwenye makabati
 
Weka vyeti mezani. There is no way you can escape. You can run as far as you like, but you will never hide from your sins. Come on Bashite, think about it
 
Gwajima keshaachia matokeo ya Daudi Albert Bashite mubashara.

Jana ile Post iliyodaiwa ni ya Necta kuwa hawana Matokeo ya Albert Bashite , Zitto alikuja akasema kauli yake ni utani tu!
Kiufupi NECTA hawajatoa tamko lolote lile kuhusu elimu ya Daudi!!

Hata isingekuwa Utani, Mwenye tuhuma siyo ALBERT BASHITE, mwenye tuhuma ni DAUDI ALBERT BASHITE

Ni jukumu la Makonda kuleta vyeti ili aweke rekodi Straight
Hivi Gwajima ni mchungaji?na

Kama ni mchungaji;
Mbona hana busara kama wachungaji wengine au mpiga dili tu?
Naombeni ndugu munijibu Tafadhali
 
Mtoa post nawe ni adui wa Bashite. Kama wewe ni mtetezi wake basi weka vyeti hapa watu wanyamaze.
 
Back
Top Bottom