Vijana mnajifunza nini kutoka kwa Nape?

Mi si kijana, ila imedhihiri kuwa Nape ni jemedari aliye tetea haki yake ya kiraia mbele ya mtutu wa bunduki mchana kweupee. Na baadae kidogo akalaani kitendo cha kutishiwa kwa silaha kwa sauti kubwa, kiakili na kimwili. Respect.
 
Nape hana ushujaa wowote, bao la mkono, bunge gizani, kufungia magazeti na mengineyo ndio aliyoyasimamia. Wacha avune alichopanda.
 
Alipokuwa akiulaani woga kwa vitendo pale msalabani, alikuwa akimaanisha nini kwenu?.
amini amini nawaambieni saa yaja mtakapo taka mtu asiyeogopa kama mimi nanyi hamtanipata, basi msinililie mimi vililie vizazi vyenu akisha kunena hayo akatumbuliwa.
Nao walio shuhudia tukio lile wakisema hakika mtu huyu alikuwa mtenda haki.
 
Pole Gologota (Protea Hotel) alimshinda Golieth
 
Back
Top Bottom