Recent content by Likumba J

  1. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Aliyekuwa mbunge wa Dodoma mjini Padre Severino Supa amefariki dunia

    R.i.p mbunge wa Nyerere
  2. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitanda haviwekwi katikati kwenye chumba?

    Kumbe ni utamaduni wetu tu
  3. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Kauru lilikuwa huko Ruvuma
  4. Likumba J

    JamiiForums Tanzania taja jina la mpenzi wako aliyewi kuutesa na kuubuluta moyo wako

    Patamu hapo jamani
  5. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayefanya kazi na kampuni ya forever living

    Ningependa kujiunga na kampuni hii jamani
  6. Likumba J

    JamiiForums Tanzania ajira mpya za walimu 2013-2014

    Utata mtupu wa ajira hapa bongo
  7. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili nijitoe ktk mfuko wa bima ya afya

    Jamani hii mifuko ya huduma kwa watumishi inakera sana hasa huu wa bima,unakwenda kutibiwa unaambiwa dawa zimekwisha huende ukanunue kwenye maduka ya dawa lakini kila mwezi nachangia.kwa kweli kama kuna mbinu za kujinasua mimi nitakuwa wa kwanza
  8. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Mvua kutoka Thailand: Lowassa ajitetea bungeni

    Hutata huu sasa kwa mvua ya Lowasa
  9. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

    Hiyo kali,lakini inabidi ulikabiri mpaka mwisho wa game
  10. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Nape: Wanaotaka serikali Mbili ndio wana akili Timamu

    Ukitaka serikali mbili ujue muungano unavunjika sasa sijuhi.
  11. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Ajitokeza kumfufua NYERERE

    Haya ni majanga sasa kwa watu wa mbeya
  12. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangazwa kima cha chini, je unajua kiwango kipya ca mshahara?

    Hivyo viwango vya mishahara mipya ni aibu na kodi ndiyo hiyo juu kweli tutamudu ugumu wa maisha jamani?
  13. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na mikoa Mitano (5) kama Mtwara, umasikini wetu ungekuwa historia.

    Unaju zamani watanzania tulikuwa waoga sana lakini kadiri siku zinzvyokwenda watu wanazidi kuwa wajasiri na hawaogopi mabomu wala risasi za moto
  14. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Pengo: Uovu ushindanishwe na Wema!

    Hata maandiko yanasema usilipize baya kwa mtu aliyekutendea baya
  15. Likumba J

    JamiiForums Tanzania Lwakatare ameletwa hapa hospitali ya Muhimbili mida ya saa nne

    Hapo sasa,ulinzi mkari kama tupo Baghdadi
Back
Top Bottom