ajira mpya za walimu 2013-2014

ajira mpya za walimu 2013-2014

hivi kwani kila thread lazima uchangie? nimeuliza kwa wema tu lakini nashangaa nashushuliwa eti mvivu! sasa chuo nilienda ili iweje kumbe nina uwezo wa kujiajiri! me naona bora ukae kimya hujui naishije muda huu had naulizia ajira ujue hali tete! watu hatuko sawa SOMEONE'S TRASH IS ANOTHER MAN'S TREASURE
 
Ajira zinaitajika sana kwani watu huku kitaa huku ni kugumu sana acheni fikra ovyo
 
Jaman kuna tetes eti post za walimu mwaka huu zitatolewa octoba? kama kuna anayejua ukwel tafadhal..

Ifike sehemu watu wapende kufata na kujua taratibu za serikali. Serikali kwa mwaka huu 2013 hawawezi kuajiri walimu . Waalimu walioripoti vituoni Mwezi March, bajeti yao ni ya 2012/2013. Kwahiyo, waalimu wengine, yaani ajira mpya lazima wasubiri bajeti ya serikali 2013/2014. Usidanganyike, kwa mwaka huu ajira zenu hazipo, mapema mwakani sawa.
 
Ifike sehemu watu wapende
kufata na kujua taratibu za serikali. Serikali kwa mwaka huu 2013
hawawezi kuajiri walimu . Waalimu walioripoti vituoni Mwezi March,
bajeti yao ni ya 2012/2013. Kwahiyo, waalimu wengine, yaani ajira mpya
lazima wasubiri bajeti ya serikali 2013/2014. Usidanganyike, kwa mwaka
huu ajira zenu hazipo, mapema mwakani sawa.

Swali la ufahamu, kwa bajeti ya 2013/14 haijaanza? If yes inaanza lini? Na bajeti ya 2012/13 inaisha lini kwa mujibu wa taratibu za serikali?
 
Bajeti ya 2013/2014 imeanza Julai 1,2013 bajeti ya 2012/2013 imeshakwisha. Kuhusiana na hizo ajira za walimu kwa mwaka wa fedha 2013/2014 kutoka kwa chanzo kutoka wizarani ni kwamba kibali cha kuajiri kimeshatolewa na utumishi mchakato wa ajira unaendelea na possible januari 2014 majlna yatatolewa watu wakaripoti vituoni. Kuweni na subira na mjiandae kisaikolojia kuishi in district councils areas manake kuna changamoto nyingi
 
Mwaka huu,tutaajiri walimu wa sayansi tu.
 
waalimu tunawaomba muwe watulivu kwani juzi naibu waziri machachari alisema nje ya ukumbi wa bunge kuwa ajira ni hadi mwezi wa pili tarehe mosi na watatu rejea gazeti la mwananchi na mawio la wiki iliopita KANIKI A WA TANGA MTOTO WA ZAINABU Ahsanten waalimu muwe watulivu
 
Ifike sehemu watu wapende kufata na kujua taratibu za serikali. Serikali kwa mwaka huu 2013 hawawezi kuajiri walimu . Waalimu walioripoti vituoni Mwezi March, bajeti yao ni ya 2012/2013. Kwahiyo, waalimu wengine, yaani ajira mpya lazima wasubiri bajeti ya serikali 2013/2014. Usidanganyike, kwa mwaka huu ajira zenu hazipo, mapema mwakani sawa.

Tuendelee..
Kama umesema walimu wapya wataajiriwa katika budget ya 2013/14, sisi tunavyofahamu vikao vya budget ni hadi Mwaka 2014 Mwezi wa June. Kama ndio hivo, basi ajira zitatoka kuanzia mwezi wa 7 na kuendelea.
 
tuendelee..
Kama umesema walimu wapya wataajiriwa katika budget ya 2013/14, sisi tunavyofahamu vikao vya budget ni hadi mwaka 2014 mwezi wa june. Kama ndio hivo, basi ajira zitatoka kuanzia mwezi wa 7 na kuendelea.

kwa mujibu wa naibu wazir wa nchi ofisi ya pinda anayeshughulikia elimu amesema ajira za walimu ni january na wataajiri walimu 26elfu.
Source - habari leo tar 23dec
 
kwa mujibu wa naibu wazir wa nchi ofisi ya pinda anayeshughulikia elimu amesema ajira za walimu ni january na wataajiri walimu 26elfu.
Source - habari leo tar 23dec

Well Said mkuu.
 
mfano halisi ni mimi! sijasomea ualimu eti kwa kuwa nilikosa mishe zingine.. nilifanya vizuri tu o level na a-level..
wala si kweli mi nijuavyo kuna sifa mbili za kusomea ualimu1:kufail 2:umasikini,hayo uyasemayo unajikosha tu,we kama una akiri timamu mwajiri anakuambia hukuona kazi nyingine nawe umo tu,nina wasiwasi na akili za watu wnaosomea ualimu.
 
haya mambo ya ajabu kweli msomi mzima una kaa kusubiri kuajiriwa,wakati upo chuo ulikuwa unatwanga pombe tu boom likiingia,kwanza niaibu na ufinyu wa fikra.mi wakati nipo chuo nilianzisha project ya kutengeneza sabuni kwa sasa kampuni imekua si kawaida inaingiza zaidi ya million 160 kwa mwezi,mtu akinambia habari za kuajiriwa namwona chizi kabisa.
 
Haha haa.. :iamwithstupid:

:focus:

Kwahiyo taarifa za uhakika ni kwamba walimu soon wanaajiriwa.
 
jana penyewe rafiki yangu kanipigia simu heti nimwangalizie net kasikia ajira zimetoka
 
haya mambo ya ajabu kweli msomi mzima una kaa kusubiri kuajiriwa,wakati upo chuo ulikuwa unatwanga pombe tu boom likiingia,kwanza niaibu na ufinyu wa fikra.mi wakati nipo chuo nilianzisha project ya kutengeneza sabuni kwa sasa kampuni imekua si kawaida inaingiza zaidi ya million 160 kwa mwezi,mtu akinambia habari za kuajiriwa namwona chizi kabisa.

Hongera karema ....maisha ni mchakato kama we ulifanikiwa mshukuru Mungu usijisifu wala usidharau wengine ambao hawajafikia kwenye nafasi uliyonayo sasa. pole pia kwa kuwa hapo ulipo bila hao waliofeli na walio maskini usingefundishwa. Jaribu kuwaza chanya kwa kila kitu.
 
Hivi potential girl tafsiri yake kwa kiswahili nini? Naona unaongea madini hapa.. :----:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom