Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Huyu waziri wa mazingira kichwa boksi kabisa huyu mama.
Huyu waziri wa mazingira kichwa boksi kabisa huyu mama.
Mkuu hii uliandika 2013😛erhaps we deserve bad leaders, but they should not be ignoramuses like Lowasa'. Nini msimamo wako after July 29/2015.Nasikitika wachangiaje wengi hapa nao watupu. Google on these things people! Cloud seeding is an experimental way of geting a few contaminated drops of water from the air. You cannot fill Mtera Dam by cloud seeding as Lowas thought.
Waziri Huvisa ni sahihi, hakikuwa kitu kinachowezekana. Lukivi na Lowasa ni watupu to the extreme. Sasa na nyie mbona mnakuwa kama wao?
Sasa kiongozi anayeweza kuagiza nchi iingie mkataba wa kichizi kama alivyotaka Lowasa ni mbumbumbu to the extreme. Perhaps we deserve bad leaders, but they should not be ignoramuses like Lowasa.
Mipango iliishia wapi?
Mkuu hii uliandika 2013😛erhaps we deserve bad leaders, but they should not be ignoramuses like Lowasa'. Nini msimamo wako after July 29/2015.
Kweli kabisa mkuu,hekima za maprofesa wale hazionekani tena,aliyewaweka katika ramani hazungumziwi tena wamebaki kunywa matapishi na waonea huruma wakianza kuharisha,ile kauli"WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU"iliyowaunganisha watu wa hali ya chini wasiokuwa na kipato leo imegeuzwa cha ajabu haohao bado wanaamini kilekile pasipo kujua LOWASA NA SUMAYE sio wapinzani ni watu waliobadili jezi tu uchezaji wao ni uleule akili ni ileile,MUNGU yaepushe mbali hivi virusi visishike dola.Msimamo wangu ni ule ule. Tunahitaji kiongozi bora, na Lowasa sio kiongozi bora. CHADEMA ilikuwa njiani vizuri sana kuipatia Tanzania kiongozi bora (yaani Dr Slaa) lakini shetani akaingilia fikra za watu, na uchu wa kutawala ukapora kabisa hekima waliyokuwa nayo watu kama Profesa Safari na profesa Baregu.
July 29 was Black Wednesday for Tanzania. Watu wanaosema CHADEMA na UKAWA havingeshinda bila Lowasa wananishangaza sana.
khaaaa! nyuzi za miaka zinarejea tena.
Mkuu hii uliandika 2013😛erhaps we deserve bad leaders, but they should not be ignoramuses like Lowasa'. Nini msimamo wako after July 29/2015.