Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,792
me kitanda changu nimeweka angani pale chini pako free unaweza cheza hata muziki.
Kwenda Kulala Unapanda Na Ngazi
me kitanda changu nimeweka angani pale chini pako free unaweza cheza hata muziki.
Najiuliza sana hii kitu ni mila,mazoea,au ni utaratibu tu wa jamii husika kuto weka kitanda katikati ya chumba.
tuekimishane wakuu.
mbona cha kwangu kipo katikati kasoro upande wa kichwa? au mnazungumzia vitanda vya wapi?
![]()
Najiuliza sana hii kitu ni mila,mazoea,au ni utaratibu tu wa jamii husika kuto weka kitanda katikati ya chumba.
tuekimishane wakuu.
Najiuliza sana hii kitu ni mila,mazoea,au ni utaratibu tu wa jamii husika kuto weka kitanda katikati ya chumba.
tuekimishane wakuu.
Sasa kitanda 6x6, chumba ukubwa 7x7. Utaweka katikati ya wapi? Wenye nafasi zao kitanda kinajibwaga hata kutandika unaskia raha hadi unabadili beshtees daily.
Ina maana unaishi hotelini. Hata aina yenyewe ya kutandika inaonyesha ni hotel ya nyota ngapi.
teh teh tangu diamond apande chati na tandale nayo iko juu siku hizi kunaitwa ushuani.