Recent content by lidobi

  1. lidobi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kimalumalu na ikibinda nkoi- Diamond sound jamani...!!
  2. lidobi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema maduka ya kubadilisha fedha yatafunguliwa baada ya uhakiki kukamilika

    Si Rais alikataa ‘Dollarization’?
  3. lidobi

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa hili la kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo nakuunga mkono 100%

    Tatizo ni kwamba hii mikataba ni ya siri siri. Sasa watz wanaumbuka. Walikuwa hawajui tangu wamesaini?
  4. lidobi

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mchaga kusaidia walemavu na yatima ni jambo gumu sana

    Wachaga huwa wakisaidia hawatangazi. Elewa hilo.
  5. lidobi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

    Na bado tumeagiza nyingine.... hahaaaaaaa
  6. lidobi

    JamiiForums Tanzania Kanisa kemeeni Uvunjifu wa Haki, Msipo badilika Makanisa yatabaki Magofu

    Nitakuwa mjumbe wako pia kupaza hii sauti.
  7. lidobi

    JamiiForums Tanzania Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

    FAKE NEWS!
  8. lidobi

    JamiiForums Tanzania Mabasi haya mnayakumbuka?

    Kuna lile basi injini ya BEDFORD lile...
  9. lidobi

    JamiiForums Tanzania TCRA wanatudanganya?

    NI KWELI KABISA. Whatsapp hawawezi!
  10. lidobi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

    Mpe uhuru wake. Asije kukuua
  11. lidobi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu athari ya jina lako katika mapenzi

    Tumieni akili zenu kwenye mambo mengine muhimu. Sio haya...
  12. lidobi

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola mbona kanywea sana siku hizi?

    Nguvu ya soda tu. Tunawajua hawa..
  13. lidobi

    JamiiForums Tanzania Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali

    Sasa nimeamini shule inasaidia... Elimu kweli ni ufunguo
Back
Top Bottom