Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali

Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali

[emoji4][emoji4][emoji4]
116621.jpeg
 
Kesho pipa lingine ndani ya nyumba? wale wenye husda na chuki nayo wainame pipa lipite.
Na bado zingine tena.
 
Utakuta Jaji mkuu Spika wa Bunge mihimili yote ya inakuja kupokea Ndege by zitto ushamba na ulimbukeni
 
Nimezipenda hizi tweet kwa kweli
fd0a0a9bfc98692f45c4330a57b432b3.jpg
89a879025948d3d77155a8abef2f2856.jpg


Sent from my SM using Tapatalk
Mi nitamtuma mwanangu dukani anunue sabuni ,sabuni zikifika nitaita majirani na ukoo wote tutapokea sabuni,nitapiga picha na sabuni maana nimenunua Mimi kwa hela ya familia ,kama ngoma zitakuwepo nitazipiga pia ,halafu kesho vipeperushi vyote vya mtaani vitanisifu kuwa hakuna kama Mimi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom