Km nliskiliza vizuri rais alitoa km changamoto ( kwamba ule mtambo uweze kudhibiti hata mawasialiano ya whatsapp nk)
Hakuna mfumo wa mawasiliano ambao upo 100% salama(fact)
Udukuzi unaweza fanyika katika maeno matatu..
1 kwenye chanzo(source)
2 kwenye kusafirishwa/mawimbi etc
3 kwa mtumiaji wa mwisho(destination).
Whatsapp kwa mfano encryption inafanyika kwenye source na inapofika destination ina kuwa decrypted...
Sasa inawezekana source au destination device ikadukuliwa na mawasiliano yakapatikana kama kawaida.
Sii lazima kuuingilia mtandao wa whatsapp wenyewe.
Mitandao pamoja na ulinzi wake.. imetengenezwa na binadam na hao hao wanajua jinsi ya kuingilia
As long as u have the appropriate tools and algorithm
Nawasilisha!!
Sent using
Jamii Forums mobile app