Recent content by libery

  1. L

    Mitihani hii ya maisha

    Ukianza na Namba tatu inakwenda kufunga milango ya baraka na utaweza kufanikisha hayo mengne
  2. L

    Mitihani hii ya maisha

    Hii mbona rahs tunaanza na mgonjwa kwanza I' mean no 3.
  3. L

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mm nahitaji third kit ya arsenal ya 2020/2021 Nipe na bei L
  4. L

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo tuna hitaji ushindi vyovyote vile
  5. L

    Chemsha bongo

    Safi sana
  6. L

    Chemsha bongo

    6 haipo hapo
  7. L

    Gari dogo lagongana uso kwa uso na gari la mizigo. Madereva tuwe makini sana

    Nakupongeza sanaa umetoa elimu nzur sanaa nataman huu ujumbe uwafikie madereva Wengi sanaa iwezekanavyo kama nilivyopata mm[emoji120][emoji120][emoji120]
  8. L

    Wazazi mmewaangusha Walimu kwenye malezi kipindi cha COVID19

    [emoji3][emoji3]ani miez tu mitatu washajifungua nazani Kama wapo bac walishajua covid-19 itatua lini bongo wakafanya zao booking
  9. L

    Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

    Swala la elimu ndugu sio lazma uwe mnufaika m Maswala ya kuambiwa elimu bure sio kila kitu kitapatikana kama mnavyoaminishwa na sera za majukwaani kuna mambo mengne inahitaji kuunga mkono pale inapobidi na mikakati mingi inalenga watoto wapate elimu bora na ndio maana shule nyingi wazazi...
  10. L

    Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

    Jamani iv madiwani wanapokea lini viinua mgongo vyao yaani kuna muheshimiwa nilimuuzia gari angu hajamaliza pesa yangu. Nazan wakati ndo sasa ili amalizie mwenye kujua anijuze[emoji28][emoji28]
  11. L

    Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

    Acha kulialia iv toka lini elimu ikawa bure ukiambiwa bure changanya na zako maisha ya elimu ni gharama afu usipende pende vya bure huwa havina kiwango...
  12. L

    Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

    Saiv naona mabalaza mengi ya madiwani yameanza kuvunjwa inamaaana na viinua bongo vyao wameshapewa au wanasubiri bunge limalizike naomba kujua hilo kwa mwenye uelewa..
  13. L

    Wazazi tunakosea hapa

    Sawa umetoa ujumbe ambao naimani kila atakae soma uzi huu kuna jambo lakujifunza kuna familia nyingi ambazo zinayaishi hayo uliyoyaeleza pasipo kujua miaka ya mbeleni tunaharibu hiki kizazi.
  14. L

    Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

    NI KWEL UMEIELEZEA VIZURI SANAAA IRINGA KIKUBWA CHA KUJIVUNIA WATU WA IRINGA NI WAKARIMU SANAA NA WANAJARI WATU WA MAKABILA MENGINE. Nitumie fursa hii kuwakaribiasha sanaa hamtojutia Ni sehemu nzuri kwa watu wanaopenda utulivu [emoji119][emoji119][emoji119]
Back
Top Bottom