Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
SawaSaa 3 na dakika 45.
SawaSaa 3 na dakika 45.
SahihiSuarez alikuwa anapatikana kwa hela ndogo sanaulivyomtaja Laca nikamkumbuka Suarez,ila kwa Laca hainishangazi hajawah kuwa na kiwango bora tangia aje Arsenal ni mbahatishaji kiwango alikiachaga Lyon kama Pepe alivyokiacha Lille
Mkuu leo hawachezi hao uliowapangaWakuu nilipata kuangalia Replay yote ya mechi yetu against Liver, kwa maoni yangu mambo machache ya kurekebisha ni haya:
1. Willian hakuwa/hana pace ya kucope na Robertson, muda mwingi alikuwa anachelewa kumkaba na ndio maana alileta madhara sana.
2. Auba pia anatakiwa kumkaba right full back (Arnold) lkn naye anaishia kati ya uwanja ili apokee counter tukigain possession, hivyo Xhaka humpokea hilo jukumu kwenye half yetu naye muda mwingi alikuwa off guard.
3. Niles na Bellerin wanawakaba Mane na Mo Salah respectively ambao mechi ya juzi walikuwa wanadrop na kuingia ndani kwenye midfield na full backs wetu wanapowafata kuwakaba automatically huacha space kwa Arnold na Robertson ku overlap na kupiga cross au kufunga ikibidi.
4. Liver walifanya high press na ukiangalia utaona back four yao ilikuwa almost kwenye half ground wakiwa hawana mpira na VVD ndiye alikuwa mwiba kwenye kupiga pass ndefu kwa Mo, Mane au full backs zao zinapopanda. Alipiga 5 successfull long balls.
Kwa ile press yao kila tulipo fanikiwa kuibypass pressing yao tulifika golini kwao vema kabisa na Lacca akakosa 2 clear chances na tukawa na offsides 5.
Nini kifanyike leo?
1. Drop Willian aanze Pepe mwenye pace ya kumkabili Robertson.
2. Drop Lacca ili Auba acheze CF na Saka acheze kama LW kumkabili Arnold kwa kuwa ana uzoefu wa kufanya good marking akicheza full back left na uwepo wake utampa Xhaka freedom kwenye midfield.
Kutokana na pumzi ya Liver second half kwa kutegemea hali ya game tunaweza kuingiza Nketiah/Willian for Pepe, Ceballos for Xhaka na Auba for Lacca kwa kuwa Lacca ni mzuri kuliko Auba kwenye kusaidia kukaba.
Kwa hiyo line up (3-4-3):
Leno
Tierney Luiz Holding
Niles Xhaka Elneny Bellerin
Saka Auba Pepe
Subs:
Runar Alex
Gabriel
Cedric
Ceballos
Lacca
Nketiah
Willian
COY Gunners.
Kiuno kitakua na kazi gani?Leo tűnakatia mabegani
Predicted LINE UPWakuu nilipata kuangalia Replay yote ya mechi yetu against Liver, kwa maoni yangu mambo machache ya kurekebisha ni haya:
1. Willian hakuwa/hana pace ya kucope na Robertson, muda mwingi alikuwa anachelewa kumkaba na ndio maana alileta madhara sana.
2. Auba pia anatakiwa kumkaba right full back (Arnold) lkn naye anaishia kati ya uwanja ili apokee counter tukigain possession, hivyo Xhaka humpokea hilo jukumu kwenye half yetu naye muda mwingi alikuwa off guard.
3. Niles na Bellerin wanawakaba Mane na Mo Salah respectively ambao mechi ya juzi walikuwa wanadrop na kuingia ndani kwenye midfield na full backs wetu wanapowafata kuwakaba automatically huacha space kwa Arnold na Robertson ku overlap na kupiga cross au kufunga ikibidi.
4. Liver walifanya high press na ukiangalia utaona back four yao ilikuwa almost kwenye half ground wakiwa hawana mpira na VVD ndiye alikuwa mwiba kwenye kupiga pass ndefu kwa Mo, Mane au full backs zao zinapopanda. Alipiga 5 successfull long balls.
Kwa ile press yao kila tulipo fanikiwa kuibypass pressing yao tulifika golini kwao vema kabisa na Lacca akakosa 2 clear chances na tukawa na offsides 5.
Nini kifanyike leo?
1. Drop Willian aanze Pepe mwenye pace ya kumkabili Robertson.
2. Drop Lacca ili Auba acheze CF na Saka acheze kama LW kumkabili Arnold kwa kuwa ana uzoefu wa kufanya good marking akicheza full back left na uwepo wake utampa Xhaka freedom kwenye midfield.
Kutokana na pumzi ya Liver second half kwa kutegemea hali ya game tunaweza kuingiza Nketiah/Willian for Pepe, Ceballos for Xhaka na Auba for Lacca kwa kuwa Lacca ni mzuri kuliko Auba kwenye kusaidia kukaba.
Kwa hiyo line up (3-4-3):
Leno
Tierney Luiz Holding
Niles Xhaka Elneny Bellerin
Saka Auba Pepe
Subs:
Runar Alex
Gabriel
Cedric
Ceballos
Lacca
Nketiah
Willian
COY Gunners.
Cedric naskia bado ni majeruhi.
Hilo Kombe Sio MuhimuNadhani kwa maoni yangu, tukiweka kikosi hiki hatutapenya next stage. Sisi League Cup ni muhimu sana kuliko ilivyo kwa wenzetu, why?
Simply sisi tuna wachezaji wengi 'wachanga' wanaohitaji game time na wengi hatujawatoa kwa mkopo hivyo haya mashindano na FA Cup ni muhimu sana kuwapa game time ya kutosha.
Unalilia kuridhishwaMufungwe leo, nilidhike.