Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

NI KWEL UMEIELEZEA VIZURI SANAAA IRINGA
KIKUBWA CHA KUJIVUNIA WATU WA IRINGA NI WAKARIMU SANAA NA WANAJARI WATU WA MAKABILA MENGINE.
Nitumie fursa hii kuwakaribiasha sanaa hamtojutia
Ni sehemu nzuri kwa watu wanaopenda utulivu [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Karibu mufindiView attachment 1477622View attachment 1477626View attachment 1477625View attachment 1477623View attachment 1477624View attachment 1477629View attachment 1477627View attachment 1477628
IMG_20200526_221412.jpg
IMG20200526141853.jpg
 
Hizo picha nimechanganya ila zote zinatoka mufindi.. Hicho kiwanda ni cha lugoda ila mazingira mengine ni yapo kijijini mkonge ambapo kuna mashamba ya ushirika ya wananchi wa kawaida

Dah...u remind me...mkonge..luhunga..sawala..ipilimo!
Kilo ya chai kwasasa ni sh ngap mkuu?..nahis kwasasa kidg kutakuwa na maendeleo kidg! Maana kule wenye hela ni wale wale...
 
Dah...u remind me...mkonge..luhunga..sawala..ipilimo!
Kilo ya chai kwasasa ni sh ngap mkuu?..nahis kwasasa kidg kutakuwa na maendeleo kidg! Maana kule wenye hela ni wale wale...
Umesahau Kibaoni?? Itulituli..
Ngwazi, Kilima, Lupembe, Luiga e.t.c

Wanyalukolo kamwene! Kuzuri kuanzia maisha, unajikusanya na kujipanga kuanzisha maisha mengine kwingineko, ELSE unadumaa COZ hakuna challenges..
Beberu anamiliki maeneo makubwa yenye rutuba.
Kwa sababu ya ukarimu wanyalu hawana migogoro ya ardhi na beberu!

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Kama Kuna mkoa huwa unaivutia mandhari yake Basi Ni Iringa japo sijawahi ishi pale nimepita Mara nyingi niwa naenda mbeya ambako nimeishi kwa Miaka 4

Udongo wa Iringa Ni mzuri sana unavutia sana Hasa kwa shughuli za ujenzi especially wa nyumba za tofali za kuchoma aisee zinatoka tofali tamu sana yaaani ile "pale red "

Hali ya hewa Kama ulaya ulaya hivi mikaratusi kila Kona

Iringa juu juu juu zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau Kibaoni?? Itulituli..
Ngwazi, Kilima, Lupembe, Luiga e.t.c

Wanyalukolo kamwene! Kuzuri kuanzia maisha, unajikusanya na kujipanga kuanzisha maisha mengine kwingineko, ELSE unadumaa COZ hakuna challenges..
Beberu anamiliki maeneo makubwa yenye rutuba.
Kwa sababu ya ukarimu wanyalu hawana migogoro ya ardhi na beberu!

Everyday is Saturday......................... 😎

Hhhhaa..mie nimezaliwa Lugoda hosp..then tumeishi miaka huko tea estates... Kibaoni had huko Kitasengwa nakufaham mnooo..!enzi hizo dingi alitununulia Yamaha honda ..bas hizo area nimefika kote!
Kule tuseme ukwel..labda kuwe kuzuri kimkakati kuanzia 2012! Lkini kule wenye nacho ni wale walee ..niliacha umaskini wa ajabu mno! Aku kaeni tu!
 
Sawa napenda kuheshim mawazo ya mtu mwingine kila kheri km utaitaji ushauri naweza kkusaidia Nina uzoefu kidogo wa maisha ya njee...
Hebu ongea hapa kwa faida ya wengi....mkuu kweli unamshauri mtu abaki bongo ?..mie pananikera mifumo yake imekaa kihuni huni tu!...
 
Hebu ongea hapa kwa faida ya wengi....mkuu kweli unamshauri mtu abaki bongo ?..mie pananikera mifumo yake imekaa kihuni huni tu!...
Mikoani fursa zipo Dar hpn. Afrika yote ni km hkn future ya maisha yetu Roho inauma ila ndio ukweli tunaishi km wa nyama naic Akili zetu watu weusi zote azipo Sawa njee pia vibari vya ukazi ndio mtihani...
 
Hhahahaa! Bas tupambane tu..uko mkoa gan mkuu utupe fursa na mimi
 
Back
Top Bottom