6+11+13. Kuna kaujanja hapo kametumika mpaka ukagundue.
Hahaha... Genius!6+11+13. Kuna kaujanja hapo kametumika mpaka ukagundue.
Hio 9 ni 6 mkuu...angalia hilo tikiti lenye namba 9 limegeuzwa juu chini... kwahiyo inasomeka 6 ukiliweka sawaSasa mkuu 6 umeitoa wapi wakat ktk choices Hamna 6..?
Sasa mkuu 6 umeitoa wapi wakat ktk choices Hamna 6..?
6 haipo hapo6+11+13. Kuna kaujanja hapo kametumika mpaka ukagundue.
Ndio maana ikaitwa chemsha bongo, kuwa makini utaiona 66 haipo hapo