Mm nahitaji third kit ya arsenal ya 2020/2021Aaron nahtaj home kit ya arsenal uzi wa 2004/5
Nipe na bei
L
Mm nahitaji third kit ya arsenal ya 2020/2021Aaron nahtaj home kit ya arsenal uzi wa 2004/5
Dah manyumbu hawa kwl ni sikio la kufa
una wapiga je? wakati kukamilisha deals za wachezaji zinawashinda!😀😀😀Namuona Ole kama mjanja flani anajifanya mdhaifu kumbe yuko vizuri. Anawaacha watu wamdharau lakini anaingia top 4 wakati sisi FA Cup ndilo tulitegemea kuingia Europa. re: last season. This time tusidanganyike tuhakikishe tunampiga yeye, Lampard, Mou , Carlo na wote nje ya wale 2 bora wa kawaida.😀😀😀
kazi ipo. Je unaanzaje kumuhamasisha Ozil arudie hali yake ya zamani? Au unamtafuta nani kwa sasa? Maana hapa ni kuangalia unatumiaje vizuri kikosi ulicho nacho.
una wapiga je? wakati kukamilisha deals za wachezaji zinawashinda!
yani arsenal wapumbavu sana, leo tunawaona man u, chelsea maboya lakin ligi ikichanganya arsenal wanapoteana, hao tunao wazodoa ndo unawaona UEFA kila msimu mpya.
deals hazikamiliki badala watoe pesa, wachezaji wapya wajekungana na team, mwez wote ni kelele tu. wangalie EVERTON wapo moto vibaya sana ni mwendo wa 3, 4 ukizuba 5.
huyu coach atakuja kusepa kwa sababu za ubaili wa viongozi na uzembe wa bodi yote, ipo siku Man city watamrudisha Arteta akamridhi Pep.
Acha kuchekesha kiongozi na kauli zako soko ndivyo lilivyo *** Arsenal board na Viongozi waoKuhusu kuwapiga wameonyesha kuwa wanaweza kuwapiga na sasa vijana wanajiamini. Kuhusu usajili, ndiyo Arsenal ni wazembe kihistoria kwenye swala hili ila wanabidi walifanyie kazi. Na siyo lazima mtu alipe bei inayotajwa tu. Kuna thamani timu inaweka kwa mchezaji wake ila pia kuna thamani ambayo mnunuzi anaona. Kama Arsenal wanaona Aouar siyo mchezaji wa 50m, kwa nini walipe 50m? Hata wewe bodada ukikodisha kwa kwenda mahali kwa 1000 hutakubali kulipa 3000. Of course, pia kuna kubargain katika biashara yoyote ile na mara ingine unafanikiwa kupata kwa bei yako na mara ingine hufanikiwi. Kwa sasa kama hili limepiata acha tuendelee kuwachapa na hawa hawa kina Willock na Nketiah
Ni kukubaliana na hali tu mkuu. Tunaweza kuandamana, tuache kuangalia mechi na kununua jezi na mambo yote yatayowaletea faida. Wakiona hivyo wataelewa kuwa mashabiki wamechoshwa nao. Ila nani atafanya hivyo?Acha kuchekesha kiongozi na kauli zako soko ndivyo lilivyo **** Arsenal board na Viongozi wao
Nimenunua jezi yangu ya away white then Dully Jr analeta habari mbaya hapo juu that's nonsense hawa leaders wana problem gani?Ni kukubaliana na hali tu mkuu. Tunaweza kuandamana, tuache kuangalia mechi na kununua jezi na mambo yote yatayowaletea faida. Wakiona hivyo wataelewa kuwa mashabiki wamechoshwa nao. Ila nani atafanya hivyo?
Mimi huwa nasema mpaka nimwone mchezaji mpya anapiga danadana pale Colney ndiyo naamini ninachosikia mitandaoni. Hakuna anayejua ukweli maana timu zinajitahidi kuficha siri sana. Huenda wana mpango flani. Pia tumeshazoea siasa zao za miaka nenda rudi sasa kwa nini ujipe presha? Tukisajili, poa. Tusiposajili, kocha ana kazi maana anajua masahabiki wanataka nini na akishindwa kukidhi hatahurumiwa. Ndiyo kawaida ya ushabiki.Nimenunua jezi yangu ya away white then Dully Jr analeta habari mbaya hapo juu that's nonsense hawa leaders wana problem gani?
Kwa ligi hii bila midfield imara na yenye kupambana (MUDA UTAONGEA)Mimi huwa nasema mpaka nimwone mchezaji mpya anapiga danadana pale Colney ndiyo naamini ninachosikia mitandaoni. Hakuna anayejua ukweli maana timu zinajitahidi kuficha siri sana. Huenda wana mpango flani. Pia tumeshazoea siasa zao za miaka nenda rudi sasa kwa nini ujipe presha? Tukisajili, poa. Tusiposajili, kocha ana kazi maana anajua masahabiki wanataka nini na akishindwa kukidhi hatahurumiwa. Ndiyo kawaida ya ushabiki.
p.s yaani msimu huu jezi zote nzuriiii, yaani zinafaa kuendea kwenye send-off kabisa unapiga top ya Arsenal na cadeti yako na ki sports jacket unapendeza kuliko bwana arusi mtarajiwa. Alafu bodi wanaamua kuzingua kama kawaida yao.Nimenunua jezi yangu ya away white then Dully Jr analeta habari mbaya hapo juu that's nonsense hawa leaders wana problem gani?
Ila hio picha yako inanikumbusha ucl final 2006 tupo na barca, enzi hizo mwenyew najiita T.H!p.s yaani msimu huu jezi zote nzuriiii, yaani zinafaa kuendea kwenye send-off kabisa unapiga top ya Arsenal na cadeti yako na ki sports jacket unapendeza kuliko bwana arusi mtarajiwa. Alafu bodi wanaamua kuzingua kama kawaida yao.
p.s yaani msimu huu jezi zote nzuriiii, yaani zinafaa kuendea kwenye send-off kabisa unapiga top ya Arsenal na cadeti yako na ki sports jacket unapendeza kuliko bwana arusi mtarajiwa. Alafu bodi wanaamua kuzingua kama kawaida yao.



mafala sanadawa ni kumtafuta ujugu akakichafue kwnye page za arsenal from tweeter mpka FB.😠 ...Nimenunua jezi yangu ya away white then Dully Jr analeta habari mbaya hapo juu that's nonsense hawa leaders wana problem gani?