Recent content by Leverage

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Fani za science na Tehama ukiondoa afya ni TGS E
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jobless kuweni na moyo mkuu. Jumatatu Kabla Jimbi hajawika mtakuwa kwenye kitabu Cha Permanent and Pensionable
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ukiwa mtumishi wa umma utaelewa ninachokisema. Wizara inapangiwa bajeti may be 700B lakini mwisho WA siku hadi mwaka unaisha wamepewa 400B. Hapo lazima mipango mingine ife. Kuna mengi sana vijana hamyajui mnatakiwa mjifunze lakini nyinyi mnakuja kutoa lawama. Hao wenyewe ni waajiriwa tu. Swala...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa mtume Muhammad wa kupasua mwezi vipande viwili wathibitishwa

    Ndio Yale Yale ya RIBA haramu, FAIDA halali
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sasa hivi watu wakienda vituoni watakufa njaa Account zimefungwa taasisi zinafunga mahesabu. Hakutakuwa na Hela za kujikimu mtaanza kulalamika Tena serikali haitujali
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapa ndio mjue kuchelewa Placement sio swala la Psrs Bali ni serikali. Sasa hivi hakuna placement sababu mwaka mpya wa fedha. Placement ni beyond Psrs boundaries. Psrs wanapanga ila lini waajiriwa wapya waanze kazi hawawezi amua.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    How=Application Describe=Understanding Explain=understanding
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ACHA mbwembwe hakuna pdf bado
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tangazo la Muhas tarehe 20/6 wameondoa wameacha Hilo la 6/6 Kuna shida hapo
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jamaa huyu kama Perdiem tu anazikusanya vizuri. Interview zote za DSM yupo, na Sasa hivi anakula posho ya 77. Mshahara hagusi huyu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jamaa alisafiri kutoka Meatu hebu fikiria hiyo adhabu na bado kakutana na majanga hayo. Mimi nafikiri itungwe SHERIA ya kuwashtaki PSRS wanapofanya uzembe hii itasaidia kuondoa mambo ya kijinga
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vijana waliofanya practical interview ya eGA pale TIA, wanakwambia vichekesho tu computer zao mifumo mibovu zaidi ya nusu saa unaisubiri Ina reboot. Halafu server moja Kwa wote kwahiyo shida tupu. Ukimwita msimamizi ukimwambia tatizo anakwambia isubirie tu itakuwa Sawa huku muda wako unaenda...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pole sana
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jamaa alinikatisha tamaa sana
Back
Top Bottom