mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Tunasubiri shuhuda za kuramba asali na kuainisha kama ni direct au data base ili kuendelea kutiana moyo. Kumbukeni kwenda kuwa watumishi wema!! Kamwe msiwasahau wenzenu wanaoendelea kusubiri nao kuramba asali!!