mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
PSRS wanatangaza kwa niaba ya waajiri!! Hawatangazi wao kama wao!! Cheki hapa tangazo la PSRS ambavyo huwa linasomeka!!Psrs ndio wanasababisha matatizo yote haya kwa sababu zifuatazo;
1 wanatangaza kazi kila mara kwa post ambazo wengi wameshafanya usahili (multiple advertisement in the same post e.g accountant etc)
2. Hawatumii database kama kanuni zao zinavyowaelekeza kwamba wasitangaze kazi hadi watu wa database waishe
3. Hawafuati kanuni ya post 1 kugombewa na watu 3 oral
4.
Unaweza ukaongezea zingine
On behalf of Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Institute of AdultEducation (IAE), University of Dar es salaam (UDSM), Livestock Training Agency (LITA),Tanzania Veterinary Laboratory Agency (TVLA) and Tanzania Fisheries ResearchInstitute (TAFIRI) Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites dynamic ...................
Anayeamua kutangaza kazi siyo PSRS bali ni mwajiri!! Kwa hiyo kama kuna lawama kwa kutangaza ajira ambazo zilishafanyiwa usaili na taasisi zingine, lawama hizo zielekezwe kwa waajiri hao, na si kwa PSRS ambaye hutangaza kwa niaba (On behalf) ya waajiri hao!!. Sisi wote tunajua maana ya kufanya kitu kwa niaba ya mtu fulani!! Waswahili husema "mjumbe hauawi", lakini kuna watu wanajitoa ufahamu na kutaka kumwua mjumbe!! Kwa maneno mengine PSRS ni mshenga tu!! mwoaji ni mwajiri!!