HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi ninahisi kama leo kuna pdf coz kwenye categories zote pdf zimekuwa downloaded isipokuwa upande wa placement tu.
 
FINALLY....NAMI NIMO DAAAAH ASANTE MUNGU.....ASANTENI SANA WANAJAMIIFORUM....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Humu kuna VICHWA adimu, so umeokoa nauli+kula+kulala kama ungeenda DODOMA kushinikiza JINA lako liongezwe...na unakumbuka nilikuambia kama jamaa kapokea simu na amekuuliza Majina yako basi ondoa SHAKA na WEWE umo.
 
Back
Top Bottom