Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,014
Yap mkuuMeans majibu yanatoka leo leo eeee?
Yap mkuuMeans majibu yanatoka leo leo eeee?
Oral tarehe 18/07/2023Kwan wamefanya jioni hii?? Na vp....oral wanapiga baada ya sku ngap??
Waendelee kusikilizia hapo kwenye tar 15 hukoOral tarehe 18/07/2023
One day brother you will pass hali hii..kikubwa imani isipotee tu na tulizike na tulichonacho hurnda siku Mungu akatujaalia vikubwa zaidiuzuri wa hapa JF nikama darkweb tu
tunapeana updates,faraja na kuongea lugha moja kwenye ishu sensitive ikiwemo suala hili la AJIRA
Aiseeh wanangu mtaa mgumu
sijui lini tutachomoka kwenye jaribu hili la ujobless
JAH BLESS US
Thank u champOne day brother you will pass hali hii..kikubwa imani isipotee tu na tulizike na tulichonacho hurnda siku Mungu akatujaalia vikubwa zaidi
Kama kila kitu kipo sawa,,kuitwa kupooWadau kama umecertify vyeti vizuri na umejaza details vizuri 96%. Umeomba kazi ukapata receive. Unaweza ukakosa kuitwa Written?
Mwenye uzoefu na hii
Shukrani!Kama kila kitu kipo sawa,,kuitwa kupoo
uzuri wa hapa JF nikama darkweb tu
tunapeana updates,faraja na kuongea lugha moja kwenye ishu sensitive ikiwemo suala hili la AJIRA
Aiseeh wanangu mtaa mgumu
sijui lini tutachomoka kwenye jaribu hili la ujobless
JAH BLESS US
As long as kila kitu kipo sawa...Wadau kama umecertify vyeti vizuri na umejaza details vizuri 96%. Umeomba kazi ukapata receive. Unaweza ukakosa kuitwa Written?
Mwenye uzoefu na hii
Amen!Tuzidi kusali Mkuu na kuweka tumaini letu kwa Mungu, siku na sisi majina yetu yapate kuonekana kwenye pdf za kuitwa kazini.
Amen!
Amini kweli ipo siku na itakuwa hadi ushangae..
Kikubwa ni kutosahau struggles za wengi wetu.
Tulokwisha kupata tunawaombe na ninyi iwe hivyo na itakuwa kwa jina la Muumba wetu aliye hai[emoji120]
🙏Tuzidi kusali Mkuu na kuweka tumaini letu kwa Mungu, siku na sisi majina yetu yapate kuonekana kwenye pdf za kuitwa kazini.
1. HowPoleni wana CDO's Jana mchawi kama Kawa muda, mara nyingi sana maswali ya ufahamu mchawi anakua muda, maana unajikuta unataka uongeze nyama nyingi kwenye swali moja, ndo ujue linakulia muda hivyo...ila kila la KHERI KWENU...Mungu atawabariki Wana,
How=Application1. How
2. Describe
3. Explain
4. Briefly explain
Hayo maswali huwa ni mabingwa was KULA MUDA
Mungu awatangulie watoboe.How=Application
Describe=Understanding
Explain=understanding
Hii inabidi tuipushi sana vinginevyo tutaendelea kulaumu kwanini wanachelewa kutoa placements#MATOKEOYAORALHAKIYETU