Recent content by leonk

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Wamechoka na mipasho ya waongoza nchi wenu, nchi inazidi kudidimia, pesa ya Tz inazidi kuzama, mtu unabeba milion 10 kwenye Rambo then Mkenya anakupa chenji unaweka mfukoni na wala haituni, so bad! Anakurudishia vi-note 50 tu!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee

    Shikamoo dada Charty!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    Labda mimi sielewi, nina mdogo wangu mmoja kamaliza degree ya uhasibu pale ifm ila hakuweza kupata uppersecond (alikuwa na lower seond) kanyimwa kufanya masters Mzumbe, ina maana kaonewa ama wamefuata taratibu? Iweje advn diploma apate nafas ya kufanya masters km haqualify? Acha wivu wa kitoto...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye wana Jamiiforums tumekutana leo Serena Hotel 02/11/2014

    Ngoja na sie wa kanda ya ziwa tuandae ya kwetu!!!! Serena hotel zipo huku kwetu pia!!!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Kumbe ni ww mwenyewe ndo unaitaka, hata ukiomba kuwa mvumilivu maana inaweza chukua hata 3years ndo unakuja kuitwa!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

    Mbona dem mwenyewe mzee afadhali hata Jidy, kweli hii dunia ngumu sana!
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

    Mmmh! Km ww
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vigogo na Wanasiasa waliofaidika na Fedha za Ufisadi wa IPTL hawa Hapa

    Na huyo anaemwita afisa wala sio afisa bali ni commissioner wa customs and excise wa TRA, huyo Masamaki anaeshirikiana na Pinda kwny vibali vya Sukari kwa akina Zacharia, Tusubiri tutaona mengi!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Niko Mwanza kukupatia nyumba na magari.

    Nimekufurahia tu unavyoelezea!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Niko Mwanza kukupatia nyumba na magari.

    Mmmh we Ram ww!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Niko Mwanza kukupatia nyumba na magari.

    Mmmh ck hz nimeanza kuwa mwenyeji wa mwanza kila wkend np huko, nakutafuta mkuu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wachomwa moto Tabata

    Acha waendelee kuchomwa labda na wenzao wataacha, TZ inakoelekea kwa ujambazi sio imekuwa too much!
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Facts about kissing

    Mmh! Mapigo ya moyo!
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike msomi

    Huyo msichana unaemtaka wa kuanzia miaka 18 sidhan km unataka kumuoa, bado hajakomaa kiakili, ubahatike pengine
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mh. Mtanda afiwa

    Nadhani huyu jamaa ni mbunge, cjui wa huko kilwa sema mleta habari anafikiri kila mtu anamjua
Back
Top Bottom