Niko Mwanza kukupatia nyumba na magari.

Niko Mwanza kukupatia nyumba na magari.

MIMI NA TZ,
nimekukubali kwamba hubahatishi,maana umeweka nyumba haswaa za bei yake.Na gari nimeiona.
We komaa,mie nikiwa vizuri nitakutafuta,mama yangu Mdogo yupo huko.
Hembu nitafutie Hiace Dungu au Coastar ya bei rahisi huko,maana routes za mwanza sio kubwa na foleni hakuna ya kuuwa gari.
 
Ok,nitaku pm very soon

Mungu wangu nibariki bila wewe Mimi si kitu kamwe
 
Nahitaji kiwanja au nyumba maeneo ya nyamagana, uko tayari tukaandikishiane mahakamani?
 
Huo ujumbe wako wa chini kila baada ya post unanifurahisha na unatia shaka kidogo.
Maana umekaa ki Nigeria Nigeria vile,maana wao wakitaka kupiga ndio zao,mungu sanaa.
Haya acha kazi iendelee.

Halafu Jingine,maana mie najua Mwanza mwenyejei na nina ndugu zangu nao wamepinda pia hawawezi kuuziwa mbuzi kwenye Gunia.

Katika mchakato wa kutafuta hiyo Hiace ya bei Poa,kuwe na njia mbadala,kama nitakuwa sina pesa kipindi ikipatikana,maana nilikuja kipindi fulani nikakuta Biashara ya Pikipiki za Maguta watu wanapiga,najua sasahivi Carry zinapiga,so,akipatikana mtu wa kubadilishana Carry na Hiace kwa Supplement sio mbaya.
 
Hii ni biashara wapo wana JF ambao nimekutana nao na tumefanya biashara kiuhakika cwezi kukuuzia nyumba bila wew mwenyewe kuihakiki na kuridhika kwa kufuata taratibu zote za mauziano, amini hii kwangu ni kazi mshahara wangu naupata hapa karibu sana Mwanza

Mungu wangu nibariki bila wewe Mimi si kitu kamwe
 
ImageUploadedByJamiiForums1408974943.069123.jpg
Hii nyumba ipo Usagara hapa jijini mwanza na bei yake ni milioni 19 tuwasiliane kwa 0788752672
 
Hii ni biashara wapo wana JF ambao nimekutana nao na tumefanya biashara kiuhakika cwezi kukuuzia nyumba bila wew mwenyewe kuihakiki na kuridhika kwa kufuata taratibu zote za mauziano, amini hii kwangu ni kazi mshahara wangu naupata hapa karibu sana Mwanza

Mungu wangu nibariki bila wewe Mimi si kitu kamwe

Safi mkuu,nasubiri issue ya Hiace
 
Chezea shede wewe, asilimia kubwa ya cd wanaishi shede, wakola wanapatikana shede, waganga wa kienyeji shede, wachawi shede, maisha ya kiswahili (uswahili) shede, wanyamwezi, waha wamejaa shede, shede ni balaaaa

Nimekumbuk alaf nikacheka hapo shede ni balaaa ha ha h ukipanfa na bugarika plus mabatini mmmmh
 
Chezea shede wewe, asilimia kubwa ya cd wanaishi shede, wakola wanapatikana shede, waganga wa kienyeji shede, wachawi shede, maisha ya kiswahili (uswahili) shede, wanyamwezi, waha wamejaa shede, shede ni balaaaa

Mmmh we Ram ww!
 
Acha masihara. Hii ni nyumba ya milioni 19?
attachment.php

Hapa chini tazama ya milioni 36-43 kutoka NHC eneo la Geita Bedrooms (Nyati) 56m[SUP]2[/SUP] unakabidhiwa funguo na hati ya kiwanja,unahamia siku hiyo hiyo
attachment.php
 
Nyumba yanamna hiyo kwa mtu mwenye akili zinazo mtoshaha wezi kununua kwa bei hiyo
Ungesema laki tisa au milioni moja na laki mbili
 
Acha masihara. Hii ni nyumba ya milioni 19?
attachment.php

Hapa chini tazama ya milioni 36-43 kutoka NHC eneo la Geita Bedrooms (Nyati) 56m[SUP]2[/SUP] unakabidhiwa funguo na hati ya kiwanja,unahamia siku hiyo hiyo
attachment.php

That's y I say "negotiable" you say I say we agree on price
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom