Afu huyu anaongea tuu. Kuna watoto wapo vzr kama yule mtoto wa simanjiro ana miaka minne anapiga hesabu ni balaa anafundisha hadi form four hesabu sema ww unataka awe na kipaji gani , sasa huyu eti anang'ang'ania eti watoto wa kibongo wanataja majina tuu acha uboyaaa
Manispaa haiwezi kuzika bila kupata kibali cha polisi coz taarifa za kupotea au kifo cha kuuawa vifo venye utata lazima zitolewe taarifa polisi na kuzika kwake km mtu hajafahamika Kuna muda ukifika manispaa wanaenda kuomba kibali cha kuzika polisi ili endapo kama Kuna taarifa zozote za...
Unashindwa kuuliza tunaweza kumkumbuma kwa kitu gan alichofanya eti unauliza atashyakiwa kwa kitu gani? Kwani alichaguliwa ili akiachia ngazi ashtakiwe ? Uliza swali lenye tija kama vp tujadili hata swala alilolisema la kuwa hawezi kisomesha wazazi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.