Kweli kabisa tigo wameshiba mapesa huduma hakuna tena.Customer care wanatia kichefuchefu pamoja na kulipia hako ka mia hawapokeiwanakuwekea matangazo yao na music masaa hata manne.Ukinunua muda wa maongezi kwa tigo pesa nayo tatizo wanakata salio lkn huo muda wa maongezi hupati.Kama unadharura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.