Hivyo vyombo vya habari vigome tu lakini chamoto wananchi watakipata na kuwahadithia tu wenzao wao waitane tu sisitunataka madai yetu yatekelezwe wakuu.
Hivyo vyombo vya habari vigome tu lakini chamoto wananchi watakipata na kuwahadithia tu wenzao wao waitane tu sisitunataka madai yetu yatekelezwe wakuu.
Nilikuwa napita tu kuelekea Uhamiaji kuchukua Passport yangu na Wanafamilia wangu.Ninahamia KIGALI RWANDA nitarejea baada ya hawa Majuha wanaosukuma (sio kuongoza) nji hii kuondoka.Mapambano yangu ni kutokea nje ili wasije kuni-Mwakyembe.Lakini kabla sijachukua Passport zangu nimeona ni vyema nikasema kuhusu huu Mgomo wa hawa wanataaluma ya Udatkari.Kwa kweli kama kuna nchi inadharau taaluma hii hapa duniani basi Tanzania ni ya kwanza.Katika hali ya kawaida nisingetaraji Waziri mwenye dhamana na anayeitwa Dr kitaaluma anaweza kuthubutu kusema eti Doctors wamevunja mkataba, kisa kudai haki yao ya msingi ambayo ni malipo halali kwa kazi halali walizokwisha fanya za kuwahudumia wagonjwa.Kuna washenzi tu ambao thamani yao hapa Duniani (not only Tz) ni sawa na kapu la kinyesi cha mgonjwa wa Kipindupindu, lakini wanalipwa mara 10 zaidi ya mshahara wa Dr. aliyesota Darasani miaka 6 hadi 7.Ukiuliza kwanini iwe hivyo unaambiwa eti huyo ni Mwanasiasa Mh.Mbunge (Mganga wa Kienyeji) SHAME !!!!! Hivi huu ujinga kama usipovaliwa njuga kwa mtindo huu wa Kugoma, naapa kwa jina la yule aliyeniumba kwamba itakuwa ngumu hawa wapuuzi kuheshimu Taaluma hii ya Udaktari.
Radio one wanasema hakuna mgomo dar wala huko bunda, Musoma!
Wao waitane ikulu,wapige story wanazojua jambo la msingi ni kutoa majibu sahihi!!Wenye kiu ya haki tunazitafuta haki zetu wenyewe na wagonjwa tunaowahudumia.Inshallah tutafanikiwa.
Vyombo vya habari vinapotosha umma wa Watanzania kwa malengo wanayoyajua wao
-Muhimbili leo Madaktari waligoma na hao waliosema shuhgli zinaendelea, ni wanafunzi waliokuwa wakionekana(kwa mwananchi wa kawaida yoyote aliyevaa koti hospitalini ni Dr0
-MOI leo ilifungwa kabisa, hakuna mgonjwa aliyeonwa (huyu Bonge wa clouds aliona wanafunzi wa IMTU wakielekea huko)
-Ocean Road ndio kama mlivyosikia TBC1-specialist wachache ndo walibaki kuona wagonjwa wa ndani
-Bugando wameanza vikao endelevu leo na shughuli zilisuasua leo, kuanzia kesho-HAKUNA KAZI
-Mbeya REFFERALwameanza vikao leo-KUANZIA KESHO, TOOLS DOWN (Yule aliyehojiwa Mbeya ni mganga mkuu wa hospitali ya Mkoa-SIO RUFAA ambayo ni ndogo sana na inaona wagonjwa wengi wa nje tu
-DODOMA regional Hospital, wamekaa vikao leo, TOOLS DOWN KESHO
Enyi waandishi wa habari hizi si ndio habari za uchunguzi mnazotakiwa mzifuatilie na kuhoji wahusika (madaktari katika sehemu husika) ili mziandike?? MNAENDEKEZA NJAA TATIZO LENU NA HAMKO PROFFESSIONAL!!
Nendeni kwenye hizi sehemu kesho muone!
...........umesahau na katikati ya mgomo MzeeMwinyi akaenda kucheza ISAMBE la KANDA BONGOMAN pale shamba la bibi
Na waziri mkuu wa UingerezaMbona nasikia mkuu kaenda majuu? Aenda onana na nani?