T.C.R.A Wanatumaliza; TiGO Nao Wanatunyofoa Ngozi, Chukua HATUA

MR. MBANDO marketing wa tiGO, genius man kahamia airtel, tangu aende huko, AIRTEL NI ZAIDI YA UTAMUUUUUUU.... kwa kweli huyu mtu ana akili sanaaaaaaaa!!!!!!"""""""""""
 
TCRA hawafanyi lolote kumsaidia mwananchi ambaye ndo mteja. wao wanakumbatia tu makampuni na kufanya vile yatakavyo. Haki za mlaji hazilindwi. QoS ni poor, wizi, bahati nasibu za uongo, sms za matangazo, robo calls za matangazo n..k lakini hakuna hata siku TCRA wametoa statement
 
hawako serious hawa jamaa,ni wezi niaje!!ukija kwenye tigopesa,pesa zinapotea kiajabu ajabu they are real f.,,.king
 
Kweli kabisa tigo wameshiba mapesa huduma hakuna tena.Customer care wanatia kichefuchefu pamoja na kulipia hako ka mia hawapokeiwanakuwekea matangazo yao na music masaa hata manne.Ukinunua muda wa maongezi kwa tigo pesa nayo tatizo wanakata salio lkn huo muda wa maongezi hupati.Kama unadharura ya kupiga simu ndio msiba tena.Tumechoka shime tuungane tususie tigo wamechoka wezi wa wazi kabisa.Hivi cc watanzania ni wakuibiwa tu? Kwanini hawakosei wakatuongezea salio? Kukosea ni kukata pesa zetu tu?TUMECHOKA
 
Siku nyingi nilishalalama hapa jamvini I think 2008 lakini hakuna chochote kilichoendelea wakati niko home. Huku US tunauza m-a-t-a-k-o na biashara ni nzuri. Kataeni TiGo kwa nguvu zote. Kibaka mwingine ni TISIARAEI was-h-e-nzi sana, hawafuatliii wala ku-regulate chochote wamekaa tu kama mchuzi wa ngama. Kudaddadeki.

shindwa na ulegee
 
Hili jambo ni la hatari sana kwa future ya hii kampuni ya TiGo. Inabidi wafanye jitihada ili kulinda reputation yao.
Mimi binafsi nimeshalalamikia sana huduma zao mbovu kwenye TiGo pesa na kastama kea. Utapiga simu sana lakini haipokelewi.
 
wapumbavu kweli hawa jamaa..kwanini customer care hawapokei?pumbu zao...wanavyojua kukata hela uliyokopa na kupiga simu kuuliza kwanini siku hizi sijiungi na bundle zao za internet wakati service zao zinaboronga
 
Kama ni mgomo mbona mimi niliishauanza tangu siku nyingi tu. Nyie mwasubiri nini mpaka sasa?

Mwanzo nimekuwa nikiitumia kama spare tyre,lakini hivi karibuni nikaanza kuwastukia kwani kila niliweka vocha, hata kama nitatumia tsh 200 kisha nikatoa line, siku nikiweka ile line hewani nakuta wamekomba salio lote wamebakiza visumni sumni tu. Sitaki hata kuwasikia, wanatia kichefuchefu tu hawa.
 
Tigo ni Makumazani na mafedhuli,waizi wanyang'anyi na matwahut! TCRA WAMELALA USINGIZI WA PONO HUKU WANAKOROMA NA KUJAMBAA USHUZIII MMMM NCHI INANUKA KILA SECTOR WAMEJAA WAHUNI NA WACHUMIA TUMBO
 
Hawa jamaa wameshatuona mazoba. Unapiga simu haipatikani lakini wanakata salio. Huu ni wezi.
 
poa nami pia napiga simu ya tigo kimachale sana ni wezi kwa kwenda mbele
 
bora tugome kupiga wala kupokea cm tuone wataibaje, wizi mtupu!

Hapo nakuunga mkono 100%
Ila ingekuwa Egypt na Tunisia ingekuwa na impact zaidi, maana waTZ wengi wanajua kulalamika tu bila ku take action.
Na hawa jamaa inatakiwa kukomaa nao mpaka kieleweke, kama vipi wafunge kampuni wakauze hata vyepe.
 
Siku nyingi nilishalalama hapa jamvini I think 2008 lakini hakuna chochote kilichoendelea wakati niko home. Huku US tunauza m-a-t-a-k-o na biashara ni nzuri. Kataeni TiGo kwa nguvu zote. Kibaka mwingine ni TISIARAEI was-h-e-nzi sana, hawafuatliii wala ku-regulate chochote wamekaa tu kama mchuzi wa ngama. Kudaddadeki.

you made my day mkuu
narecord salio langu la tigo...

pia kuna huu upuuzi/umafia wa kutumiwa sms za kishenzy na makampuni ya biashara binafsi,why?
 
Back
Top Bottom