Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

Well.. the two camps are absolutely opposed to each other. Only one will emerge the winner and he would be the only one facing any other challenger for CCM Presidential candidacy in 2015. Will this be a full 12 rounds bout? I mean.. will we see the two camps chopping, upper-cutting each other before the CCM national Congress next year or even later towards 2015?

I'm asking myself why the differences between the two camps have become more pronounced and sharp in the past year?

One is the Minister of Foreign Affairs while the other is the Chair of Parliamentary Standing Committee for Security and Foreign Affairs!

Well.. somebody got to lose and somebody got to win - a tie is not an option. BUT what if they destroy each to the point that even the winner doesn't survive the fight! - well.. SOMEBODY ELSE will reap where he/she didn' sow! Thats my friends is politics!

Lets enjoy the show!

Urais ni uteule, hivyo tusiwe na shaka mteule tutamjua, tutamuona na tutamuenzi wakati ukifika. Kabla ya moto moshi hufuka. Taifa letu litadumu kwa milions years to come. Nice weekend guys!
 
Well.. the two camps are absolutely opposed to each other. Only one will emerge the winner and he would be the only one facing any other challenger for CCM Presidential candidacy in 2015. Will this be a full 12 rounds bout? I mean.. will we see the two camps chopping, upper-cutting each other before the CCM national Congress next year or even later towards 2015?

I'm asking myself why the differences between the two camps have become more pronounced and sharp in the past year?

One is the Minister of Foreign Affairs while the other is the Chair of Parliamentary Standing Committee for Security and Foreign Affairs!

Well.. somebody got to lose and somebody got to win - a tie is not an option. BUT what if they destroy each to the point that even the winner doesn't survive the fight! - well.. SOMEBODY ELSE will reap where he/she didn' sow! Thats my friends is politics!

Lets enjoy the show!

While I still believe neither of them targeting the Candidacy per se, my worry is the first major casualty of this tuff will be our dear NATIONAL IDENTIFICATION project....an important initiative for both the internal social, economic and security agenda but also our quest for greater regional integration
 
Mkuu kwa nini Membe aliwatambua Wahuni wa Misri? Kwa Nini Membe aliwatambua wahuni wa Tunisia? Huoni kuna kitu hapo Personal Baina ya Membe na Marehemu Gadafi? Au Wahuni wa Libwa (NTC) ni Wahuni Zaidi kuliko Wahuni wa Misri na Tunisia

Wananchi wa Misri na Tunisia walizitoa tawala zao kwa maandamano ya amani na tawala mbadala zinapatikana sasa kupitia sanduku la kura, wakati Libya wapiganaji walichukua silaha zao wakisaidia na nchi za magharibi kuuondoa utawala na kuikamata serikali bila sauti ya wananchi kupitia sanduku la kura kusikika, hivyo kulinganisha kilichotokea Misri na Tunisia na kile kilichotokea Libya ni kama kuulinganisha usiku na mchana..
 
If everything remain constant the way things are right now,Mr White hair will take it and come 2015 the guy will be our president. According to me I do not see anybody who will beat the guy lets say they go for election within the part or something like that. Its a matter of wait and see, lest we forget he was the pillar in making the current occupier of magogoni to be where he is right now!
 
Taking these two on the beam balance, the winner is obviously.
Since one is stategic and dreadly powerful on their political arena and the other one is walking under the shadows of the failed Mr. Big, and the less logical is this other one thinks he can just because of the position he is serving under, lets wait and see, but I insist the winner is obviously the opponent is an easy way.
Let me sit on my rock chair and keep sipping my drink while waiting for the tik tok...

it clear who will win this fight, is like the game of chelisee and taifa stars every one will know the result before the game
 
Wananchi wa Misri na Tunisia walizitoa tawala zao kwa maandamano ya amani na tawala mbadala zinapatikana sasa kupitia sanduku la kura, wakati Libya wapiganaji walichukua silaha zao wakisaidia na nchi za magharibi kuuondoa utawala na kuikamata serikali bila sauti ya wananchi kupitia sanduku la kura kusikika, hivyo kulinganisha kilichotokea Misri na Tunisia na kile kilichotokea Libya ni kama kuulinganisha usiku na mchana..

Hata Wananchi wa Libya walizana Kuandama kwa Amani na Nchi za Magharibi zikaingilia baada ya Marehemu Gadafi kuanza kuwashambulia wananchi waliokuwa wanaandamana kwa Amani

Umesema kwa Misiri na Tunisia Tawala Mbadala zinapatikana sasa kwa nini Akina Membe walikimbilia Kuwatambua wahuni wa Misri na Tunisia kabla Tawala Mbadala hazijapatikana ( Au Wahuni wa Libwa ni Wahuni Zaidi ya Wahuni kuliko Wahuni wa Misri na Tunisia)

By the way ni Lini tumeanza kuzikataa Tawala zilizoingia Kijeshi? Au Tunachagua?

Acha porojo mkuu Kuna kitu hapo Baina ya Membe na Gadafi na Mzee bado anaomboleza sasa hasira zake anawaangushia Wahuni wa Libya
 
Kati ya hao mbona mshindi yuko wazi wakati EL anatengeneza mtandao wa ushindi Membe anasubiri mbeleko ya JK, Tanzania ya leo na hata ndani ya CCM kumebadilika si sawa na wakati wa Mwinyi alivyobebwa na Nyerere, kama Membe anataka kuchaguliwa anatakiwa ajiandae haswa si kutegemea mkwe re ambaye naye anafight kitumbua chake kisimdondoke.
 
Hata Wananchi wa Libya walizana Kuandama kwa Amani na Nchi za Magharibi zikaingilia baada ya Marehemu Gadafi kuanza kuwashambulia wananchi waliokuwa wanaandamana kwa Amani

Umesema kwa Misiri na Tunisia Tawala Mbadala zinapatikana sasa kwa nini Akina Membe walikimbilia Kuwatambua wahuni wa Misri na Tunisia kabla Tawala Mbadala hazijapatikana ( Au Wahuni wa Libwa ni Wahuni Zaidi ya Wahuni kuliko Wahuni wa Misri na Tunisia)

By the way ni Lini tumeanza kuzikataa Tawala zilizoingia Kijeshi? Au Tunachagua?

Acha porojo mkuu Kuna kitu hapo Baina ya Membe na Gadafi na Mzee bado anaomboleza sasa hasira zake anawaangushia Wahuni wa Libya

Kabla haujaenda kwenye hizi tik tak ilitakiwa ujiulize kama Waandamanaji wa Misri na Tunisia waliiindua serikali na kuuchukua utawala wa nchi? kama hawakuuchukua then hao wahuni uliotaka Membe awapinge huko Misri na Tunisia ni wepi tena?
 
Mkuu Mbona unakwepa Hoja za Msingi? Mubarak hayuko Madarakani Wahuni wa Misri waliandamana Wakapambana pale Cairo na sasa Misri haiko under Mubarak iko chini ya Viongozi wa Wahuni wa Misri kama Ilivyo Libya Chini ya Viongozi wa Wahuni wa Libya

Swali langu ni kwamba je Wahuni wa Libya ( kama anavyowaita mbopo) walikuwa ni Wahuni zaidi ya Wahuni ya Wahuni wa Misri na Tunisia?
 
Waberoya....unafikiri Lowassa still anaweza kuwa mgombea wa CCM???????????

Ndiyo anaweza sana, NEC na KK imejaa watu wa Lowassa na JK alishindwa kutoa uamuzi juu ya EL simply aliona kundi la wafuasi wa EL ni kubwa sana. Just imagine Ng'ende uamuzi wa kumsimaisha uliamuliwa na KK, lakini akina EL na Chenge kamati ya maadili!!!!

Kuna dhana mbili

1. Kama Membe anataka urais ataweza tu na atafanikiwa ikiwa JK yuko nyuma yake, bila support ya JK membe ni sifuri
2. EL anaweza akafanikisha billa hata JK! kikubwa ni je EL na JK wana mkataba gani, inawezekana kabisa kuwa sarakasi zote hizi wanajua wanafanya nini, kuwa waangalifu sana.
 
This is not how the presidency is won. We cannot send a msg to the whole world that we cherish impunity by installing the master of all thieves to the presidency! We still have four years to go. President will come from CCM and Lowassa, who will defect to opposition in January 2012 will have written his political orbituary by then!

God loves this country. He can not let the country be held captive by thugs. Magamba shedding is the road to Canaan!

Taratibu Mbopo, kwa hiyo hutaki master of thieves kuwa rais ila unataka thief mdogo Membe kuwa rais??

Go west go east...EL yuko juu sana ya Membe. hili la wizi unaona mwenyewe linapungua nguvu mpaka watu wanawashindanisha

Mbopo sehemu ya wezi ni jela akiwa nje na hana kesi siyo mwizi, unless you have defined way of human system ya kuhukumu watu zaidi ya mahakama.

wasioweza kuwapeleka membe na EL jela ndiyo wabaya zaidi!

FYI Membe ana wakati mgumu sana tena baada ya kupokea fedha za Gaddafi za kusilimisha EAST AFRICA.

Subiri uone madudu yake,

sorry do not fall in love with politician they will disappoint in a second!
 
Ndio Maana amekataa kuwatanbua Wahuni wa Libya huku akiwakumbatia Wahuni wa Misri na Tunisia
 
Kumbe hata wewe umeona nilidhani ni mimi tu !!!!!!!.

haijawahi kwenye historia ya ccm, mtu anaetaka kuwa rais na mwenyekiti wa ccm
'akamponda waziwazi na kumdhalilisha mwenyekiti aliekuwepo madarakani'
bado mshtuko na athari zake hatujaziona bado..
the game this time is so different.........we have the unknowns unknowns so far.....
 
Kwa hii katiba tuliyo nayo,it will never happen, maamuzi ya rais yapo kila sehemu.Labda Lowassa anaachwa cause the press has to write/say something(candidate) and is good this way
 
Ndio Maana amekataa kuwatanbua Wahuni wa Libya huku akiwakumbatia Wahuni wa Misri na Tunisia

Ndio huwa nawashangaa watu ambao huwa wanatoa povu kumsema EL huku wengine wakijificha kwenye kivuli cha akina EL.

CCM wote wachafu....hakuna msafi

Kuwa Membe alipewa fedha wapi ipo, ametumia wapi mpaka sasa hivi, mipango yake iko. Ni mnafiki kuliko maelezo, anauza utu na dini yake kisha kwa fedha za kiarabu

wanaomchafua na kumsema vibaya ni alioingia nao deal.......wanamwita KAFIR ...wanasema hawezi eneza dini yao!!! ilamikoba kaishika yeye!
 
Lowassa rais wa nchi hii inajulika haiwezekani ila anatumika ku-divert attention and the media are after him like bulldogs
 
siyo lowasa na membe tu ndiyo wanaotaka kuwa rais wa JMT, kuna shein na magufuli, lowasa na membe wanafanya kazi ambazo wengine ilipaswa wafanye juu yao, wao wanajimaliza wenyewe na mpaka itakapofika huo wakati kutakuwa hakuna kati ya hao wawili atayeweza kusimama, tupieni macho kwa shein na magufuli
 
Back
Top Bottom