Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by samirnasri, Oct 25, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  habari nilizozipata hivi punde zinasema basi moja lijulikanalo kama deluxe line lililokuwa likitokea dar kwenda dodoma limepinduka na kuwaka moto katika eneo la misugusugu mkoani pwani na kuua zaidi ya watu 40. Ajali hiyo imetokea mishale ya sa tisa mchana. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa abiria mmoja ambae alikuwa safarini kutoka dar kwenda dodoma akiwa kwenye basi lingine. Mwenye habari zaidi atujuze.
   
 2. L

  Leonard Mwanja Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Poleni wote mliopoteza ndugu na jamaa
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  another heavenly sent........maake siamini kabisa kama hizi ajali ni bahati mbaya,anyway r.i.p wahanga wote
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa kasema shabiby wewe deluxe line kwa hiyo zimetokea ajali mbili eneo moja?
   
 5. e

  ejogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yah, nimesikia hii ajali toka redio ya clouds FM. Kuna jamaa alikuwa anaripoti live akiwa eneo la tukio. Pole sana kwa waliopata ajali na ndugu na jamaa zao!
   
 6. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Pole ndugu na jamaa wa ndugu waliopoteza maisha....
   
 7. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,463
  Likes Received: 10,673
  Trophy Points: 280
  poleni sana wafiwa
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Salaam Wanajamvi na watanzania kwa ujumla!

  Niko kwenye basi kutoka Arusha kwenda Dar, na mwendo kidogo tu kufika kibaha maili moja tumekuta basi la shabiby (Dodoma - Dar route) limepinduka likashika moto na kuungua lote.

  Nasikia ni watu 3 tu ndo wametoka angalau wakipumua. Kwa maneno mengi roho zote zimeangamia na hata hao watatu hatujui mwisho wao huko hospitalini


  Kwa wale wenye uzoefu wa kusafiri la basi la shabib dom-dar watakubaliana na mimi kuwa huwa linapakia watu wengi na pia linaendeshwa kasi sana. And so you can imagine idadi ya watu walopoteza maisha.

  Kwa hakika basi lote limeungua moto na kikosi cha fire & rescue cha manispaa ya kibaha imejitahidi kuzima moto but were probably too late and not enough.

  Chanzo cha ajali hakikuweza kupatikana na wala picha sijaweza kupiga coz hatukuweza kushuka ndani ya basi letu. Mwenye taarifa zaidi atujuze

  Mungu tunusuru na ajali hizi za kila siku ee Mola wetu.

  Uwajalie mapumziko na amani ya milele wote hao waliotangulia mbele za haki. Amen
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii thread imekaa sawa hapa jukwaa la siasa?
  POle sana kwa waliofiwa, may the sauls of the deceased rest in peace.
   
 10. New2JF

  New2JF Senior Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ajali ipi wajukuu? Basi gani hilo maana magari mengi sana huko mjini
   
 11. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  poleni zao wafiwa, sijui chanzo itakuwa nini eneo lile la misugu misugu liko clear limenyooka kabisa na jamaa wa tochi huwa wapo maeneo yale yale
   
 12. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  hapa ndio watu wengi wanavisit so no problem later inaweza kuhamishwa!!
   
 13. New2JF

  New2JF Senior Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una maana hii ni ajali nyingine tofauti na tuliyopewa taarifa kama hizi huko nyuma mjukuu
   
 14. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  So sad!!!! RIP ndugu zetu
   
 15. S

  STIDE JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duh!! Akili visiginoni, masaburi at work!!
   
 16. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  polisi wako usingizini
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Oppssssssss!! RIP
   
 18. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  mara delux mara shabiby what is what and which is which?
   
 19. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mmh! mbona zimezidi jamani.
   
 20. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Inasikitisha sana. pole nyingi.
   
Loading...