Recent content by Leon swaty

  1. Leon swaty

    Second selection tutapata wapi form za kujiunga shule?

    Jamani msaada kwa waliochaguliwa form five na form zao za kujiunga kidato cha tano Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Leon swaty

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Jaman naomba app ya ku download movies za mbele
  3. Leon swaty

    Naliamsha dude'' Ngoma mpya ya Weusi

    VP imesha achiwa au badoo
  4. Leon swaty

    Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

    Huyo diallo kajiaribia sana.......mana umoja Wa vyombo vya habar uko WAP........non sense interview
  5. Leon swaty

    Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Kwanza Roma usoni kuna alama flan hivi ambazo zinaashiria alipigwa sana,,,,,,,nq katika utembeaji wake huna matata........hata katika kukaaa....shida.....pia mwangalieni alivyoingia kwenye ile gar(noah)alikuwa anaficha uso.....that means usoni hayupo ok....daaah hii tanzania ye2...
  6. Leon swaty

    Walimu hatuna thamani

    Daaah.....serekali ijaribu angalau kuangalia maisha ya waalmu jaman........kazi ni kubwa lakin mshahara mdogo......waalimu hawapati mda wa ziada kufanya extra work ili angalau kuongeza kipato........makato ni mengi sana,,,,,,hivi serekali mnafikiri kukomoa waalimu au??Waalimu hawapati stahiki...
  7. Leon swaty

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Duuuh.....soma had chini kabisaaa utaona.......
  8. Leon swaty

    Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Bora kumwambia ukwel....mana mapenz ni upendo wa kwel na nidhamu bas......hakuna jingine
  9. Leon swaty

    Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Saf.......hyo ni mitazamo hasi.......kikubwa n upendo mana kuna walio ndan ya ndoa na wanaheshimika na kupendana,,,,,,,,,kwa mada yako naona ww umeshatendwa sana....tafuta wa ku2liza papuch yako hyoo
  10. Leon swaty

    Nini sababu Dar kuburuza mkia matokeo kidato cha nne 2016 ?

    MAIN REASONS... -umbali wa shule -waalimu wa mjin wanajal sana shugul zao binafs kuliko wanafunz(serekali iangalie mishahara ya waalimu) MINOR REASONS -Beating issue -matamasha ya kila weekend(cjui after school bash,dance mia mia,etc)
  11. Leon swaty

    Nini sababu Dar kuburuza mkia matokeo kidato cha nne 2016 ?

    -Umbali wa shule -waalimu wengi wa mjini wanasimamia mirad yao mjin than kushugul
  12. Leon swaty

    Wasamaria tulifanya makosa kuchangia wahanga wa tetemeko Kagera?

    Very sad......mungu anawaona mjue Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom