Leon swaty
Member
- Oct 14, 2016
- 13
- 10
Daaah.....serekali ijaribu angalau kuangalia maisha ya waalmu jaman........kazi ni kubwa lakin mshahara mdogo......waalimu hawapati mda wa ziada kufanya extra work ili angalau kuongeza kipato........makato ni mengi sana,,,,,,hivi serekali mnafikiri kukomoa waalimu au??Waalimu hawapati stahiki zao kwa mda......ni inakaribia mwaka sasaa hakuna
1;increment
2;waalimu hawajapanda madaraja
3;madai yao hayajalipwa kama pesa za kujikimu,uamisho etc
4;mazingira wanayoishi ni magumu sana especially vijijini
5;Teaching materials kwa vijijini hakuna hata....hivi umtegemee mwalimu wa somo atumie simu yake ku google notes za wanafunzi au
Embu serekali jaribuni kutatua matatzo ya waalimu then ndo muanze kulalamika kwa nn matokeo mabovu....