Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

Habari wana MMU?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
Hiv umeshapata mume au mchumba
Nataka nikupe
 
Sio kweli kabisa, kama ni usaliti wa kimapenz wanawake naweza sema mnaongoza bana , wangapi leo hii wametulia wamendana sana, kwan wao hawafanyi hivyo, mbona mimi navulia nguo na nampenda tuu, tena nikiwa mbali naye sijiskii vema mpaka nikimuona
 
Habari wana MMU?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
Sasa we ulizani umalaya ni sifa?
 
Hahaha utaishia kupata stress tu formula nkwamba jifunze kupenda mwanaume anayekupenda sio mwanaume unayemshobokea au kumpenda ww...khs kugongwa gongwa tu ht usijali ila usikurupuke kupeleka uchinkwa mwanaume asiyekupenda au unayempenda ww
 
Kama unadhani kumvulia nguo mwanaume ni tatizo pekee, basi nakushauri ufanye tena research yako...
Tell' em kuna vitu vinatukipimbiza jamani........ Vingine vinaasali mpaka vikisepa roho zinatuuma.
Habari wana MMU?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.
 
Si mnapenda ela achen tuwavue tu with no value mpk mjifunzeeee
Na bado tutaendeleaaa kuwavuaaa tu
[HASHTAG]#team[/HASHTAG] hatuelew#
 
kweli kabisa bora ununue toy kama huwezi kuvumilia mwanaume hana utu. yaani nilishaweka nukta kitambo sit*mbwi tena afe kipa afe beki
toy cio ki2 kizur kutumia...

kwanza toy haimwag maj ya uzima....Utamis raha ya kugeuzwa geuzwa na kutoa kale kasaut.

chonde chonde miss piga moyo konde ni pm mm ntakuheshmu milele...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habari wana MMU?

Napenda kuzungumzia thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume.

Nimejifunza mengi kupitia kwa marafiki zangu na hata dada zangu na ndugu wa Karibu. Thamani ya mwanamke mbele ya mwanaume ni pala anapokuwa amevaa nguo na si vinginevyo.

Mwanaume akishakuvua nguo haoni thamani yako tena huendelea kumuwazia yule ambae bado hajamvulia.

Nimeshudia wanawake wengi wakiishia kuumizwa kwasababu ya kukubali kuwavulia nguo wanaume kirahisi.

Binafsi baada ya kuushuhudia waliofanyiwa wanawake wenzangu nimeamua kutomvulia nguo mwanaume asiye mume wangu, na hii imenipa thamani kubwa sana.

Wanawake tusijirahisishe kwa hawa viumbe tutaendelea kuumizwa daima.

Suala la kumuwazia ambaye hajamvulia halipingiki.. Awe ameoa au hajaoa! Ukiamua kutovua usivue milele.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwa taarifa yako hata kama ni mume wako akishakuvua huwa anawaza wale ambao hawajamvulia pia!
Saf.......hyo ni mitazamo hasi.......kikubwa n upendo mana kuna walio ndan ya ndoa na wanaheshimika na kupendana,,,,,,,,,kwa mada yako naona ww umeshatendwa sana....tafuta wa ku2liza papuch yako hyoo
 
Huu ni mtazamo wako tu mkuu usilazimishe iwe ndivyo, halafu unaonekana una mitazamo ya zama za giza
Wee wengine mnakuwa kama mna uvundo WA feri kwenye papuchi mkichokolewa Sasa wataka nuendelee kama konda WA gari la taka ? Nay nay nay
Kuwavueni nguo pia ni witokuna tunayoyakuta hatusemi tu sana sana tunachapa lapa!
 
Mmmmh haya mambo hayana formula aisee, hata walio olewa wakisha vuliwa nguo na kuzalishwa wanaume wao wanachepuka, Ila wanabaki na ile heshima ya kua "wameolewa"....but haifanyi wanaume wabadilike.
Bora kumwambia ukwel....mana mapenz ni upendo wa kwel na nidhamu bas......hakuna jingine
 
Back
Top Bottom