Leo 1/04/2018 Jerry Muro ameudhuria mambi Nigeria kwa Tb Joshua. Ktk kanisa la SCOAN dah, wacha na mm niache kutukana wapinzani wa Rais nimurudie Mungu wangu.
Salaaam wanajamvi!
Mimi kama ilivyo ada thread zangu ni chache lakini inalenga mule mule......
Ni muda sasa maswala ya uchakachwaji mafuta na ukwepaji kodi limekithiri hapa nchini na kuletea uharibifu wa magari na uchumi kuumia.
Hivo basi kumaliza tatizo ili Mh.Rais amrisha waziri wa fedha...
Dah, aisee hv unafahamu ni Mawaziri wangapi walevi lakini wanafanya kazi nzuri chini ya Rais wetu JPM. Kuwa na staha kidogo....Nenda kenya kamshudie Rais wao Uhuru anavyolewa na Nchi anaiongozaje.
Kwako M/Kiti Taifa,
Salaaam,
Mimi kama mwanachama hai wa CCM na mtiifu kwa chama changu, naomba kutoa pendekezo la kumteua Bwana Charles Makongoro Nyerere kuwa katibu mkuu wa chama chetu, naamini ktk weledi wake na uwezo wa kujenga hoja za kisiasa hususani uwezo wa kujibu na kuhimili hoja za...
Wasaalam,
Your enemy today can be your savior tomorrow!
Jamani tusambaze upendo pamoja na uzalendo kwa inchi yetu. Wote tunaotawala na tunaotawaliwa.
Hakuna hajuae kesho ila ni Mungu tu. bali sisi wanadamu tunajua leo na jana.
Mfn. watu kama akina Diallo, Magesa etc, na akina Lowasa, Dr. Sila...
Wasalaam,
WanaJF, sijawahi hata siku moja kuisema polisi wetu ila sasa imebidi niliongelee hili jambo kidogo. Polisi wetu wakienda kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria, kama ku-arrest,kuvunja shughuli ya watu au mikusanyiko, ku-pigwa fine n.k watakuambia wametumwa na mtu fulani. Sasa...
Hahahhah najua kuliko wewe, yaani wewe unaujanja wa nje tuu na wewe ni engineer ambaye ni normal ranking, afu katafunua ya Md juzi imekupitia tulia tu ndugu na omba JPM atoke maana hapo nadhani wahafidhina na mafisadi kama wewe mtamwondoa.
Wasalaaam,
Ukiwa kiongozi ni sharti unapomteuwa mtu wakukusaidia mahala fulani ni lazima umpe mandate na uwezo wa kujiamini mahala pa teuzi yake. Na siyo unamwacha huku akiogopa aliowakuta na wanaomsakama kwa maslahi yao binafsi.
Nimepata funzo nzuri sana kwa serikali hii ya awamu ya tano...
Hahahaha! aisee nilijua tu lazima utakuja kunena kidogo, maana mafuriko yamekupitia juzi ulienda safari unarudi ofisi kakalia mwingine ukachanganyikiwa......hahahahah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.