Moto wa Rais Magufuli ndani ya TANESCO ni hatari | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto wa Rais Magufuli ndani ya TANESCO ni hatari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LEO OJIJO MESSI, Apr 21, 2017.

 1. L

  LEO OJIJO MESSI Member

  #1
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 25
  Wasalaam,
  Ndugu wanaJamiiForums, katika pita pita zangu nimeona na kugundua kazi kubwa, na mbegu mpya na bora ya uaminifu na uwajibikaji ktk nyanja zote, yaaani kwenye kilimo, biashara na kazini anayoipandikiza Mh.Rais ndani ya mioyo ya wananchi anaowaongozaa. Sasa mtu akipatwa na njaa haliyi liyi ovyo, bali anaparangana kuhakikisha anapata chakula, halikadhalika makazini hivyo hivyo.

  Ndani ya Shirika mama Tanesco, hivi sasa kuna hali ngumu isiyoelezeka ambayo hapoawali hawakuwahi kuona au kukutananayo katika maisha yao kazini na kwenye nafasi zao. Ndani ya TANESCO sasa hivi kuna demotion, kuvunja mkataba,na kuamishwa idara, yote ni kwasababu ya kuondoa mazoea na ku-increase performance ya individuals.

  Sasa hivi watu wanatolewa store wanaenda PMU, na PMU wanaenda store kwa maana watu wa store waliokuwa wanakula vumbi na kuchekwa na watu wa ugavi na manunuzi imegeuka juu chini.

  Ma injinia wanapanda nguzo pamoja na ma technician kwa sababu kibarua harusiwi na wamepunguzwa.

  Wahasibu walarushwa wanakuwa demoted na kupewa kazi za hovyo.Ma HR wanakuwa demoted, haukuna tena safari za hovyo, hawatowi tena safari za kiufisadi ili ukirudi ukipokea chako unawakatia kidogo.

  Wale wenye weledi na uwezo waliokuwa wanaonewa wanapandishwa vyeo mpaka wanashanga hawaamini kinachotokea.Kwa ufupi Shirika zima wamevurugwa.
  Sote tukubali kuwa kuna kitu Mh.Dr.John Pombe Magufuli anafanya kwa ajili ya mema ya nchi hii, Hivo naona mantiki ya watu wanaotaka aongezewe muda wa zaidi ya miaka kumi.

  Tafadhali fanya research kote alikoteua mtu afu fatilia za chini humo ndani ndiyo utajua, mm hii ni study case ya tatu.

  Asanteni.
  Mimi Leo.
   
 2. Nichumu Nibebike

  Nichumu Nibebike JF-Expert Member

  #61
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 28, 2016
  Messages: 7,805
  Likes Received: 13,168
  Trophy Points: 280
  Nawahurumia sana wafanyakazi wa Tanesco maana sasa wanaishi kwa hofu kama wako Sudani y kusini...
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #62
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 10,006
  Likes Received: 3,322
  Trophy Points: 280
  Hivi inakuwaje thamani ya majengo inashuka... seriously!! Labda ni Tanzania peke yake. Normally thamani ya majengo hupanda. Ndiyo maana watu huinvest kwenye Real Estate. Kumbe Tanzania ni kinyume .... otherwise, weledi wa wataalamu kwenye office ya CAG unatia shaka.
   
 4. l

  lisolili JF-Expert Member

  #63
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 8, 2016
  Messages: 440
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  mtoa post nakuona unaupungufu au unadouble standard na utawala huu,unasema anafanya mema kwa taifa jema suala la uhakiki una2mia mwaka mmoja na zaid na kuwafanya wafanyakaz wawe kama vibaraka na kuish maisha mateso haf we2 unasema anafanya mema huu unyama anaowafanyia wafanyakazi? sio kila kitu cha kusifu unasifu na upumbav! acha wehu mtoa post.
   
 5. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #64
  Apr 21, 2017
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 3,032
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  Wawaondoe mameneja kwenye vituo vidogo ni majambazi wanazima umeme ili wapelekewe rushwa inatakiwa wabadilishwe nchi nzima Mfano kitu cha mvomelo na mtibwa
   
 6. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #65
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 8,921
  Likes Received: 7,362
  Trophy Points: 280
  vipi kuhusu zile posho za mwisho wa mwaka bado zipo
   
 7. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #66
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,101
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Shkamo Dr Magu
   
 8. Yugu

  Yugu JF-Expert Member

  #67
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 18, 2014
  Messages: 1,074
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Uzi wako umejaa nadharia tupu. Weka mifano halisi ya hao watu na sio kuandika kibashite bashite kama hivi.
   
 9. Mmexico

  Mmexico Senior Member

  #68
  Apr 21, 2017
  Joined: Nov 1, 2016
  Messages: 149
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Lakini JK n Ben tuhuma zao tumesikia wakiwa madarakani
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #69
  Apr 22, 2017
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,248
  Likes Received: 1,985
  Trophy Points: 280
  Moto wa kugawa umasikini?

  Kuna wema gani katika kuwafanya wananchi walalahoi waishi kama mashetani kwa hali ngumu ya maisha na umasikini?

   
 11. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #70
  Apr 22, 2017
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  Nilidhani utaongelea Tanesco kukosa nguzo kumbe unafurahia watu kuishi kama mashetani. Kweli sadists mko kila kona
   
 12. Mfukua Makaburi

  Mfukua Makaburi JF-Expert Member

  #71
  Apr 22, 2017
  Joined: Mar 21, 2014
  Messages: 2,679
  Likes Received: 5,127
  Trophy Points: 280
  Hii taarifa imejaa unafiki na zandiki, wala haina ukweli wowote.

  Mtoa mada kapewa stori a shemeji na shemeji yake ambae kapanda cheo kish yeye akakimbilia kuilet humu.

  Nilidhani ni mfanyakazi wa Tanesco, aliposema yeye sio ndio nikaju hizi ni stori za vijiweni.

  Anyway, kwani watu kupandishwa vyeo na kushushwa ndio maana kua Tanesco imebadilika? Wananchi aa kawaida wanataka kuona umeme unawaka au wanataka kusikia flani kapanda cheo na flani kashushwa?

  Hakuna cha maana ukichokiandika.
   
 13. L

  LEO OJIJO MESSI Member

  #72
  Apr 22, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 25
  Hahahaha! aisee nilijua tu lazima utakuja kunena kidogo, maana mafuriko yamekupitia juzi ulienda safari unarudi ofisi kakalia mwingine ukachanganyikiwa......hahahahah
   
 14. L

  LEO OJIJO MESSI Member

  #73
  Apr 22, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 25
  Zote zimefyekwa pamoja na ile posho ya PDP.
   
 15. babake nasreen

  babake nasreen JF-Expert Member

  #74
  Apr 22, 2017
  Joined: Oct 30, 2014
  Messages: 702
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  Mwandishi hujui kitu chochote, hata tanesco huijui vizuri
   
 16. L

  LEO OJIJO MESSI Member

  #75
  Apr 22, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 25
  Wewe ndiyo hujui chochote kwani hujui kinachoendelea humo ndani.
   
 17. babake nasreen

  babake nasreen JF-Expert Member

  #76
  Apr 22, 2017
  Joined: Oct 30, 2014
  Messages: 702
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  Narudia tena haujui kitu, sema ndio
   
 18. KweliKwanza

  KweliKwanza JF-Expert Member

  #77
  Apr 22, 2017
  Joined: Aug 20, 2016
  Messages: 3,057
  Likes Received: 2,161
  Trophy Points: 280
  Raisi wetu anajitaidi sana
  Ila tatizo ni kuwa akistaafu MaCCM siyaamini uko badae na MAUKAWA yameonesha udhaifu wao kuwa nayo ni mafisadi tu
   
 19. babake nasreen

  babake nasreen JF-Expert Member

  #78
  Apr 22, 2017
  Joined: Oct 30, 2014
  Messages: 702
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  Suala la kuamishwa idara lipo kabla shirika halijaitwa tanesco, inasema pmu unajua maana yake? Vibarua wamepunguzwa nani kasema?leo sasa hv fika hapo posta ya zaman ona vijana wanaotarajiwa kuongezwa. Eti engineer apande nguzo unajua mpk wa kazi wa engineer wewe? Unajua ktk estimation engineer anatakiwa akae site kwa muda gani? unajua kazi ya supervisor au foreman? Acha ujinga wa Inzi ww, no reserch no right to speak
   
 20. igp

  igp JF-Expert Member

  #79
  Apr 22, 2017
  Joined: Feb 16, 2015
  Messages: 840
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 80
  Nani kaonewa sasa acheni bangi zenu jpm anafanya kazi hatari mungu ampe afya njema.
   
 21. L

  LEO OJIJO MESSI Member

  #80
  Apr 22, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 25
  Hahahhah najua kuliko wewe, yaani wewe unaujanja wa nje tuu na wewe ni engineer ambaye ni normal ranking, afu katafunua ya Md juzi imekupitia tulia tu ndugu na omba JPM atoke maana hapo nadhani wahafidhina na mafisadi kama wewe mtamwondoa.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...