Moto wa Rais Magufuli ndani ya TANESCO ni hatari

Jan 27, 2015
50
70
Wasalaam,
Ndugu wanaJamiiForums, katika pita pita zangu nimeona na kugundua kazi kubwa, na mbegu mpya na bora ya uaminifu na uwajibikaji ktk nyanja zote, yaaani kwenye kilimo, biashara na kazini anayoipandikiza Mh.Rais ndani ya mioyo ya wananchi anaowaongozaa. Sasa mtu akipatwa na njaa haliyi liyi ovyo, bali anaparangana kuhakikisha anapata chakula, halikadhalika makazini hivyo hivyo.

Ndani ya Shirika mama Tanesco, hivi sasa kuna hali ngumu isiyoelezeka ambayo hapoawali hawakuwahi kuona au kukutananayo katika maisha yao kazini na kwenye nafasi zao. Ndani ya TANESCO sasa hivi kuna demotion, kuvunja mkataba,na kuamishwa idara, yote ni kwasababu ya kuondoa mazoea na ku-increase performance ya individuals.

Sasa hivi watu wanatolewa store wanaenda PMU, na PMU wanaenda store kwa maana watu wa store waliokuwa wanakula vumbi na kuchekwa na watu wa ugavi na manunuzi imegeuka juu chini.

Ma injinia wanapanda nguzo pamoja na ma technician kwa sababu kibarua harusiwi na wamepunguzwa.

Wahasibu walarushwa wanakuwa demoted na kupewa kazi za hovyo.Ma HR wanakuwa demoted, haukuna tena safari za hovyo, hawatowi tena safari za kiufisadi ili ukirudi ukipokea chako unawakatia kidogo.

Wale wenye weledi na uwezo waliokuwa wanaonewa wanapandishwa vyeo mpaka wanashanga hawaamini kinachotokea.Kwa ufupi Shirika zima wamevurugwa.
Sote tukubali kuwa kuna kitu Mh.Dr.John Pombe Magufuli anafanya kwa ajili ya mema ya nchi hii, Hivo naona mantiki ya watu wanaotaka aongezewe muda wa zaidi ya miaka kumi.

Tafadhali fanya research kote alikoteua mtu afu fatilia za chini humo ndani ndiyo utajua, mm hii ni study case ya tatu.

Asanteni.
Mimi Leo.
 
Wasalaam,
Ndugu wanajamiiforum, katika pita pita zangu nimeona na kugundua kazi kubwa, na mbegu mpya na bora ya uaminifu na uwajibikaji ktk nyanja zote, yaaani kwenye kilimo, biashara na kazini anayoipandikiza Mh.Rais ndani ya mioyo ya wananchi anaowaongozaa. Sasa mtu akipatwa na njaa haliyi liyi ovyo, bali anaparangana kuhakikisha anapata chakula, halikadhalika makazini hivyo hivyo.

Ndani ya Shirika mama Tanesco, hivi sasa kuna hali ngumu isiyoelezeka ambayo hapoawali hawakuwahi kuona au kukutananayo katika maisha yao kazini na kwenye nafasi zao. Ndani ya tanesco sasa hivi kuna demotion, kuvunja mkataba,na kuamishwa idara, yote ni kwasababu ya kuondoa mazoea na ku-increase performance ya individuals.

Sasa hivi watu wanatolewa store wanaenda PMU, na PMU wanaenda store kwa maana watu wa store waliokuwa wanakula vumbi na kuchekwa na watu wa ugavi na manunuzi imegeuka juu chini.

Ma injinia wanapanda nguzo pamoja na ma technician kwa sababu kibarua harusiwi na wamepunguzwa.

Wahasibu walarushwa wanakuwa demoted na kupewa kazi za hovyo.Ma HR wanakuwa demoted, haukuna tena safari za hovyo, hawatowi tena safari za kiufisadi ili ukirudi ukipokea chako unawakatia kidogo.

Wale wenye weledi na uwezo waliokuwa wanaonewa wanapandishwa vyeo mpaka wanashanga hawaamini kinachotokea.Kwa ufupi Shirika zima wamevurugwa.
Sote tukubali kuwa kuna kitu Mh.Dr.John Pombe Magufuli anafanya kwa ajili ya mema ya nchi hii, Hivo naona mantiki ya watu wanaotaka aongezewe muda wa zaidi ya miaka kumi.

Tafadhali fanya research kote alikoteua mtu afu fatilia za chini humo ndani ndiyo utajua, mm hii ni study case ya tatu.

Asanteni.
Mimi Leo.
Jinsi ulivyoandika tu ni dhahiri kabda hauna marinda
 
Ndo kwanza anaelekea nusu muhula (first term) ya awamu yake ya kwanza ya miaka mitano. Katiba yetu inampa nafasi 2 tu za kuongoza yaani mihula 2 ya miaka mitano mitano endapo atagombea na kushinda kila muhula. Acheni kuwasemea wengine ambao kimsingi hawakubaliane na matendo yake, chama chake pamoja na serikali yake.

Hicho kiherehere chako/chenu kitawapeleka Jehanam
 
mkuu anastahili pongezi, hata hatua moja ya mabadiliko ni ya maana sana kuliko hatua maelfu za malalamiko
 
Back
Top Bottom