Moto wa Rais Magufuli ndani ya TANESCO ni hatari | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto wa Rais Magufuli ndani ya TANESCO ni hatari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LEO OJIJO MESSI, Apr 21, 2017.

 1. L

  LEO OJIJO MESSI Member

  #1
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 25
  Wasalaam,
  Ndugu wanaJamiiForums, katika pita pita zangu nimeona na kugundua kazi kubwa, na mbegu mpya na bora ya uaminifu na uwajibikaji ktk nyanja zote, yaaani kwenye kilimo, biashara na kazini anayoipandikiza Mh.Rais ndani ya mioyo ya wananchi anaowaongozaa. Sasa mtu akipatwa na njaa haliyi liyi ovyo, bali anaparangana kuhakikisha anapata chakula, halikadhalika makazini hivyo hivyo.

  Ndani ya Shirika mama Tanesco, hivi sasa kuna hali ngumu isiyoelezeka ambayo hapoawali hawakuwahi kuona au kukutananayo katika maisha yao kazini na kwenye nafasi zao. Ndani ya TANESCO sasa hivi kuna demotion, kuvunja mkataba,na kuamishwa idara, yote ni kwasababu ya kuondoa mazoea na ku-increase performance ya individuals.

  Sasa hivi watu wanatolewa store wanaenda PMU, na PMU wanaenda store kwa maana watu wa store waliokuwa wanakula vumbi na kuchekwa na watu wa ugavi na manunuzi imegeuka juu chini.

  Ma injinia wanapanda nguzo pamoja na ma technician kwa sababu kibarua harusiwi na wamepunguzwa.

  Wahasibu walarushwa wanakuwa demoted na kupewa kazi za hovyo.Ma HR wanakuwa demoted, haukuna tena safari za hovyo, hawatowi tena safari za kiufisadi ili ukirudi ukipokea chako unawakatia kidogo.

  Wale wenye weledi na uwezo waliokuwa wanaonewa wanapandishwa vyeo mpaka wanashanga hawaamini kinachotokea.Kwa ufupi Shirika zima wamevurugwa.
  Sote tukubali kuwa kuna kitu Mh.Dr.John Pombe Magufuli anafanya kwa ajili ya mema ya nchi hii, Hivo naona mantiki ya watu wanaotaka aongezewe muda wa zaidi ya miaka kumi.

  Tafadhali fanya research kote alikoteua mtu afu fatilia za chini humo ndani ndiyo utajua, mm hii ni study case ya tatu.

  Asanteni.
  Mimi Leo.
   
 2. Akasankara

  Akasankara JF-Expert Member

  #21
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 1,806
  Likes Received: 1,846
  Trophy Points: 280

  SOMA HAPA UJIONEE HASARA KWA WANANCHI WA CHAMA CHAKE  CCM HOI YAPATA HATI YENYE SHAKA

  CCM kiliripoti mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776. Hata hivyo hakikuwa na daftari la mali za kudumu. Hivyo, kushindwa kuthibitisha ukamilifu wa taarifa za mali za kudumu (Revaluation). Hata hivyo, mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776 hazikuwa sahihi

  Chama hakikutenganisha thamani ya ardhi na thamani ya majengo kama viwango vya kimataifa vya kihasibu vinavotaka (aya 58 of IAS 16). Hivyo, thamani ya majengo ya kiasi cha sh.9, 809,498,407 yalijumuishwa na thamani ya ardhi ambayo inapanda thamani wakati majengo yanashuka thamani.

  Kukosekana kwa taarifa za fedha kuhusu uwekezaji wa chama kwenye makampuni mbalimbali; hivyo, kushindwa kujiridhisha na uwekezaji wenye thamani ya sh. 10,879,571,868 uliyowasilishwa kwenye taarifa za fedha.

  Katika Taarifa ya matumizi, kulibainika kiasi cha sh. 32,863,793,631 kilipelekwa kwenye taasisi zilizo chini ya chama, lakini Taarifa za matumizi katika taasisi hizi hazikuweza kupatikna ili kuweza kujiridhisha na matumizi haya.

  Matumizi yenye thamani ya sh. 82,400,000 yalikuwa na nyaraka pungufu, hivyo kushindwa kuthibitisha uhalali wake.

  Madai yenye thamani ya sh. 137,582,752 kutoka CCM kinondoni hayakuingizwa kwenye Taarifa za fedha, hivyo kusababisha upungufu wa sh. 137,582,752 kwenye Taarifa za fedha.

  Chanzo: Ripoti Kuu ya Mwaka ya Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serkali (CAG) kwa 2015/2016

  MY TAKE: Nilitegemea chama kikongwe kama hiki kiwe mfano wa matumizi mazuri ya fedha, kumbe ndiyo kinara wa ubadhirifu wa fedha na mali za chama. Kwa hali hii, wanachama wataendelea kushabikia ccm bila kujua kuwa fedha zao zinatafunwa kwa fujo! CCM kuweni na huruma mmeiba vya kutosha.

  UFISADI CCM NDIO NYUMBANI KWAO

  Hitimisho:

  "Hivyo basi ccm ni majizi na ni taasisi inayomilikiwa na mafisadi, wafoji vyeti na imejaa mamburula"
   
 3. L

  LEO OJIJO MESSI Member

  #22
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 25
  Hapana mm wala siko Tanesco ni self employed nalipa kodi TRA effectively.
   
 4. Kwame Nkuruma snr

  Kwame Nkuruma snr JF-Expert Member

  #23
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 5, 2017
  Messages: 204
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 80
  Hilo ndio shirika pekee mala Kwa mala lina sababisha mawaziri kuwajibika
   
 5. dolevaby

  dolevaby JF-Expert Member

  #24
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 25, 2013
  Messages: 8,269
  Likes Received: 3,399
  Trophy Points: 280
  Naona wapumba..wanazidi kuongezeka.....
   
 6. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #25
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,163
  Trophy Points: 280

  mnafiki mkubwa wewe hata kagame alianza kuwatumia wachumia tumbo kama kujifanya wanamuomba aongeze muda, patachimbika hapa. muongezeee wewe na familia yako. ulaaniwe kwa wazo lako potofu kama hilo
   
 7. T

  Taso JF-Expert Member

  #26
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,746
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Rais alikuwa amenza kukubalika duniani na hata kufanywa gold standard ya marais wa Afrika.

  Ghafla Rais akaanza ku demand kila sifa kutoka kwa kila mtu iwe sifa ya kumpamba. Sasa vyombo vya dunia vinamwandika kama dikteta.
   
 8. NAFIKIRE

  NAFIKIRE JF-Expert Member

  #27
  Apr 21, 2017
  Joined: Sep 5, 2014
  Messages: 358
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 60
  Yaani mwanawani kama umelenga mulemule..nasikia kuna vita kubwa sana ambayo haionekani lakini ipo kwenye mioyo ya watu.Kikubwa tupendane na kuheshimiana..ya kuwakomoa..mmmh yetu macho.
  "What goes around comes around "
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #28
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 80,498
  Likes Received: 117,184
  Trophy Points: 280
  Bila kumaliza tatizo la TANESCO kununua unit moja kwa shilingi 544 na kuuza kwa shilingi 279 hivyo hasara mbele kwa mbele basi ndiyo yale yale ya kutwanga maji kwenye kinu.

   
 10. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #29
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 7,068
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  akimaliza huko aje na jeshi la polisi
   
 11. Akasankara

  Akasankara JF-Expert Member

  #30
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 1,806
  Likes Received: 1,846
  Trophy Points: 280
  Sawa, ila kwa taarifa tu ni kuwa hakuna mtanzania asiyelipa KODI labda SIZONJE tu. kodi hulipwa na kila mtu pale anunuapo bidhaa dukani.
   
 12. nusuhela

  nusuhela JF-Expert Member

  #31
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 26, 2014
  Messages: 3,093
  Likes Received: 2,698
  Trophy Points: 280
  Vipi wenye vyeti feki bado wapo makazini? Kweli mheshimiwa anafanya mambo mazuri
   
 13. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #32
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 4,049
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  This is very rude!

  Hii thread inahusu Tanesco kwanini issue ya Boeing usiendeleze kwenye ule uzi wako ulionzisha kule bila kuaribu thread za wengine.
   
 14. samurai

  samurai JF-Expert Member

  #33
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 4,360
  Likes Received: 4,363
  Trophy Points: 280
  unapongeza kwa ENGINEER kupanda nguzo ya umeme?..
  Suluhu ni kuajiri upya pale tanesco kwa kutafuta smart heads na watu wenye uzoefu kwenye mashirika ya kimataifa na waliofanya kazi nje ya tanzania lakini sio kuendelea kupromote waliokuwepo na demote wengine...
   
 15. data

  data JF-Expert Member

  #34
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 17,558
  Likes Received: 7,431
  Trophy Points: 280
  Weka picha.....
   
 16. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #35
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 4,049
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  Tusubiri wapiga deal waje kutoa povu!
   
 17. Freeland

  Freeland JF-Expert Member

  #36
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 14,464
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  khaaaa...kwa hio mkuu wewe watu kuumia ndio unafurahia..wonders shall never end
   
 18. BOMBAY

  BOMBAY JF-Expert Member

  #37
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 16, 2014
  Messages: 3,934
  Likes Received: 2,010
  Trophy Points: 280
  Kama viongozi wa cdm na wanachama wao wamemmiss jk nakumuona wa maana sana basi ninaamini yakwamba Magu atakuwa ni rais mstaafu shujaa wakipekee sana ....
   
 19. Dan Zwangendaba

  Dan Zwangendaba JF-Expert Member

  #38
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 25, 2014
  Messages: 2,054
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Aliyewatungia hili jina la mpinzani aliwapata watanzania
   
 20. m

  mugua JF-Expert Member

  #39
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 31, 2015
  Messages: 205
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Huku kwetu bunda alituletea wakurugenzi wanaoungana na maafisaelimu kunyanyasa walimu,sijui aliwateuaje?
   
 21. mwanaludewa

  mwanaludewa JF-Expert Member

  #40
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 4, 2017
  Messages: 748
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 180
  Wananyang'anyana kama walivyopeana!Lkn waangalie wasifanyiane kwa visasi na wasiingize ukabila,undugu nk!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...